Mbwana Samatta aifungia bao la kwanza Genk

Alipata team nje akaenda akachemsha,alitaka maisha ya bongo kutwa kuwepo mawela bar sinza

Tena huyu bianadamu, ni mmoja kati ya Watanzania wenye bahati zaidi. Maana lipokwenda Sweden alifikia first eleven kabisa na akawa anacheza vizrui tu kisha eti akakumbuka nyumbani!!!!!!!
 
Tena huyu bianadamu, ni mmoja kati ya Watanzania wenye bahati zaidi. Maana lipokwenda Sweden alifikia first eleven kabisa na akawa anacheza vizrui tu kisha eti akakumbuka nyumbani!!!!!!!
Alishazoea umaarufu wa bongo kupewa magari,kuwa na madem wowote atakao....huko nje life hiyo alikuwa haipati?kila kachezea bahati
 
Ni gori halali ila co soi la kiufundi hâta mwehu angefunga
Ukitaka kujua alitumia skills angalia anaruka juu then anafunga kiurahisi, wehu wetu hapa wasingejiandaa kufunga, mpira ungegonga kwenye ugoko Na kupaa juu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…