Mbwana Samatta aifungia tena timu yake

hapo poa sana samatta sio kama wavuta bangi wengine hawa wanaenda norway kuvuta bangi
 
Nimecheki game jana yupo vizuri ila hajapata confidence ya kutosha. Nahisi na kocha kashaanza kumuanini jana 1st eleven dk 70 kacheza. Timu pia ipo vizuri viajana wengi atatupia sana pale akikaza
 
Niliiangalia hiyo game yote. Lilikia goli zuri sana. Samata atafika mbali kama akiendelea hivyo na akiongeza bidii pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…