Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TAKE????Kijana nyota take inang'aa
mkuu ulikuwa unatumia link ipi, nijulishe nami nmcheck mech inayofuata, zingatia mkuu nw dayz naangalia mpra kwa sim yanguNiliiangalia hiyo game yote. Lilikia goli zuri sana. Samata atafika mbali kama akiendelea hivyo na akiongeza bidii pia
Niliangalia kupitia tv mkuu.mkuu ulikuwa unatumia link ipi, nijulishe nami nmcheck mech inayofuata, zingatia mkuu nw dayz naangalia mpra kwa sim yangu
chanel ipi mkuuNiliangalia kupitia tv mkuu.
Fox Sportchanel ipi mkuu
Genk Ni team ya Belgium pia iko Ulaya Mkuu!Huyu dogo ni noma hatakaaa hapo genk muda lazima ulaya wamtake
Nielekeze unafanyaje kuangalia kwa simu mkuumkuu ulikuwa unatumia link ipi, nijulishe nami nmcheck mech inayofuata, zingatia mkuu nw dayz naangalia mpra kwa sim yangu
Wema usije ukatuchukulia na huyu
Nasikia wema sepetu kam-follow mbwana samatta huko "instaglamu".
Kwani hapo Genk ni RUFIJI?Huyu dogo ni noma hatakaaa hapo genk muda lazima ulaya wamtake
ujinga ni kujisaidia juu ya chooPlease msitualibie uzi kwa jadili ujinga