Lile goli alilowafunga City akiwa Aston Villa ndilo linamfanya awe ulaya mpaka muda huuMbwana Samatta: I’m delighted to be moving to @hac_foot!! I’ve learnt a lot about this historic and special club over the past few weeks and I believe in the project that’s being built. Thank you to the club for believing in me and I look forward to give 100% in the @Ligue1. I can’t wait to get started - allez les ciel et marine.
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta amejiunga na Le Havre AC inayoshiriki ya Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1🇫🇷) akitokea PAOK ya Ugiriki.
Samatta ameweka rekodi ya kuwa Mchezaji wa kwanza kutokea Tanzania kusajiliwa na timu ya Ligi Kuu nchini Ufaransa.
Acha kuchekesha Mkuu. Rivaldo alikuja cheza hapo Angola. Vipi kama Samaatta angekosa timu ya top league na timu hizo unazoziponda zikamuhitaji!? Je, angeacha kujiunga nao!? By the way unajua umri wa Kalou wakati anajiunga na timu ya Djibout!? Je, Samatta atakapofika umri huo Atakuwa bado anahitajika!?Nimeiona Reims hapo kwenye standings ni kitimu kibishi sana....
Samatta kwa kwakweli ame-struggle sana...Sijui ni juhudi zake au management...
Toka atoke Genk hajawahi kuchezea timu chini ya ligi kuu...anzia England, Turkey, Belgium tena, Greece na leo France...
Hili sio jambo Jepesi, Maana kuna wengine walirudi kustafia Ndondo cup kwa mfano Solomon Kalou na Alex Song walistaafia Djibouti.
Sio nyota ni kipajiKama ni nyota basi jamaa ananyota si mchezo aise
Kuna mzee anaitwa miroshi ka sikosei ni mjapan, ana Miaka hamsini na KITU na BADO anakomaa huko ureno. Kuna WATU ni wabishi mkuu samata BADO Chali SANA ajitunze TUAcha kuchekesha Mkuu. Rivaldo alikuja cheza hapo Angola. Vipi kama Samaatta angekosa timu ya top league na timu hizo unazoziponda zikamuhitaji!? Je, angeacha kujiunga nao!? By the way unajua umri wa Kalou wakati anajiunga na timu ya Djibout!? Je, Samatta atakapofika umri huo Atakuwa bado anahitajika!?
Wikipedia inatuambia ana miaka 34.Acha kuchekesha Mkuu. Rivaldo alikuja cheza hapo Angola. Vipi kama Samaatta angekosa timu ya top league na timu hizo unazoziponda zikamuhitaji!? Je, angeacha kujiunga nao!? By the way unajua umri wa Kalou wakati anajiunga na timu ya Djibout!? Je, Samatta atakapofika umri huo Atakuwa bado anahitajika!?
Chupu chupu kushuka darajaMbwana Samatta: I’m delighted to be moving to @hac_foot!! I’ve learnt a lot about this historic and special club over the past few weeks and I believe in the project that’s being built. Thank you to the club for believing in me and I look forward to give 100% in the @Ligue1. I can’t wait to get started - allez les ciel et marine.
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta amejiunga na Le Havre AC inayoshiriki ya Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1🇫🇷) akitokea PAOK ya Ugiriki.
Samatta ameweka rekodi ya kuwa Mchezaji wa kwanza kutokea Tanzania kusajiliwa na timu ya Ligi Kuu nchini Ufaransa.
Sijui hoja yako ni nini! Ila hao unaosema walistahafia ndondo ni wazi mahitaji ya wakati ndio yalipelekea. Unless useme ni makosa kustahafia kwenye hiko unachoita wewe ndondo cup.Wikipedia inatuambia ana miaka 34.
Kwanza hata umri huo bado ni questionable.
Samatta ni mkubwa kwa chama....Samatta ni mkubwa kwa kapombe, Samatta ni mkubwa kwa Zimbwe...Samatta ni mkubwa kwa Thomas Ulimwengu.
Aliocheza nao Mazembe wamestaafu wote.....wakiwemo wa rika lake.
Samatta alicheza Simba 2010/11
Je mchezaji gani aliyekuwa akicheza Simba au hata Yanga wakati huo ambaye bado anacheza hadi leo?
Samatta amekwenda ulaya akiwa amechelewa....Nitajie mchezaji yeyote uliyemwona 2010 akiwa Manchester united, Arsenal, Mamelodi, Mtibwa, Simba au Yanga ambaye anacheza hadi leo 2025/26 season.
Ndio maana nikasema kwa umri wa Samatta kupata timu ndani ya ligi kubwa kama hiyo ni kama zali..au anasapoti ya menejimenti nzuri......nikiamini hiyo ndio itakuwa club yake ya mwisho.Sijui hoja yako ni nini! Ila hao unaosema walistahafia ndondo ni wazi mahitaji ya wakati ndio yalipelekea. Unless useme ni makosa kustahafia kwenye hiko unachoita wewe ndondo cup.