Mbwana Samatta aonesha mafanikio yake

picha ya lini mkuu? unamuwekea maneno mdomoni? kweli amesema hio ni gari yake 'MPYA'?
 
Kama ni lake hongera yake (tena kama lile lenyewe maana bei yake imesimama wima,sio kama yale ya kichina)
 
picha ya lini mkuu? unamuwekea maneno mdomoni? kweli amesema hio ni gari yake 'MPYA'?

Swali zuri! TRA sa hvi wanasajili platnumber mpya za magari kwa number C? Au mim mshamba
 
Vipi kama iliingia nchini muda ila kainunua recently?

Nawaza tu

Ingekuwa na namba mpya! D hivi kuna gari zipo show room ukilipia wanakuwekea namba mpya. Kama kanunua kwa mtu sio 'mpya' hata kibongobongo
 
Vipi kama iliingia nchini muda ila kainunua recently?

Nawaza tu

Tuseme leo ukipata demu mwingine kwani huwezi kujisifia kitaa kua Umepata chuma kipya?

Lakini si inawezekana huyo demu odometer imeenda sana labda ana zaidi ya miaka 15 toka aanze kuvuliwa pichu?

Nami nawaza tu pia
 
Hahaaa.....

Heshima kwako......
 
Hongera kijana endelea kuwa na bidii na ujasiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…