Rogers luyangi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 552
- 948
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaambiwa bby tulale mazoezini utaenda kuumia huko 😀 maisha ndio haya hayaVijana wa kitanzania wakishaoa uwezo unashuka awe msanii au mcheza mpira jamaa toka aoe performance yake imeshuka kabisa.
Umasikini umetutawala, wenginge hatuna kazi za kufanya, wivu choyo, chuki, bei za mafuta kupanda, stress za kugombea daladala, we tuache tu. 😂 😂Dah wabongo ni haters sana.
Kumbe ameshaona!!Vijana wa kitanzania wakishaoa uwezo unashuka awe msanii au mcheza mpira jamaa toka aoe performance yake imeshuka kabisa.
hakika dogo amefanya makubwa mno
Kwa kweli aiseeMwisho atakamtwa uzurulaji huyu
Mda sana ngoja niutafute ntaku tagKumbe ameshaona!!
Nitag kwenye uzi wake wa ndoa kama uliwahi kuletwa humu
Hajasaidia taifa huyu popoma,hakika dogo amefanya makubwa mno
na kila kitu kwake amekifanya so far hata kama atarud bongo hatuna mchezaji mwenye mafanikio kwenye mpira wa miguu kama yeye
1. mfungaji bora Africa champion
2.mfungaji bora Belgium
3.mfungaj bora congo kwa mayele
4.mchezaji wa bora wa club Africa
5.team of the year Africa
6.uefa mtanzania wa wa kwanza
7.kucheza ligi maaruf England
8.kucheza mashindano ya taifa ya Africa
9.bingwa cong
10.bingwa super cup congo
9.bingwa wa club Africa
10.bingwa Belgium
11.belgian super cup
12.efl cup ruuner up with aston villa
11.kuipiga liverpoor goli matata
Kama mchezaji sidhan kama anadaiwa na yoyote yule katika nchi hii zaid vijana wengine wanadaiwa wafanye kama yeye ili tupige hatua zaid kwenye soka
Wewe na ukoo wako mmekatazwa kusaidia taifa ?Hajasaidia taifa huyu popoma,
Wewe je umesaidia??Hajasaidia taifa huyu popoma,
Zero correlationVijana wa kitanzania wakishaoa uwezo unashuka awe msanii au mcheza mpira jamaa toka aoe performance yake imeshuka kabisa.
Akirudi utamlisha wewe?Ameshakaa sana ulaya arudi sasa
uliposema wa "kitanzania" upo sahihi lkn wenzetu ulaya wanaoa na bdo uwanjani wana perform vzur tu, mesi na ronaldo ni mifano haiVijana wa kitanzania wakishaoa uwezo unashuka awe msanii au mcheza mpira jamaa toka aoe performance yake imeshuka kabisa.
Samahan kocha wa Genk ni yuleyule au??#MICHEZO Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amerejea tena katika klabu iliyompa mafanikio barani Ulaya, KRC Genk kwa mkopo wenye kipengele cha kumnunua moja kwa moja akitokea Fenerbahce ya Uturuki.
Samatta aliitumikia Genk katika michezo 191 na kufunga mabao 76 huku akishinda ubingwa wa Ligi Kuu ya Ubelgiji na kufanikiwa kucheza makundi ya Klabu Bingwa Ulaya.
#Samagoal #MbwanaSamatta #EastAfricaTVView attachment 2325468
Ni kweliAngeweka mkakati wa kupeleka madogo academy za timu zote alizopitia tungekuwa mbali
Wewe uliepo umelisaidia taifa?Hajasaidia taifa huyu popoma,