Mbwana Samatta asaini rasmi Genk ya Ubelgiji

Afanikiwe tu sana maan watanzania runasikiaga kwa wenzetu asichukue akili za ngasa
 
Kwa hiyo soka yuko gerezani au mbona hasikiki
 
Kutokana na mtandaoni, kila napoandika RKC Genk, Genk Fc inakuja timu moja tu, hivyo ndo hiyo! Utakavyoamua kuiita, haiyaa!

Hapana mkuu hii timu anayoenda samata ilishiriki uefa 2012 goalkiper wake alikua tiba cotous huyu anaeidakia Chelsea hivi sasa inaitwa krc Genk ila hii inayoshiriki uefa ni ya huko huko ubelgiji na inaitwa kaa gent na inaongoza ligi ya kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…