Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,363
Teh teh teh soka sijui yuko wapi hivi sasa maana walikua wote mbagala
hongera sana bwana Ally Samatta,the pride of Mbagala.alienda wapi Yusuph Soka?
Dogo alipata matatizo sweden..wakala alimuingiza chaka