issa yurry
JF-Expert Member
- Apr 20, 2014
- 626
- 818
Na yeye aongeze bidii sasa! Aachane kabisa na ile tabia yake ya kuzunguka zunguka tu kule mbele akivizia nafasi za kufunga!
Na yeye aongeze bidii sasa! Aachane kabisa na ile tabia yake ya kuzunguka zunguka tu kule mbele akivizia nafasi za kufunga!
Arudi enzi zile za kupangua mabeki wawili, watatu kwa spidi kali kabla ya kufumua shuti golini! He was the best.