Mbwana Samatta asajiliwa Fenerbahce ya Uturuki

Mbwana Samatta asajiliwa Fenerbahce ya Uturuki

Basi msitudanganye msimu huu atacheza UCL , kwa ligi ya uturuki nafasi ya UCL ni 1 tu, na Galatasaray ndiye anayeichukua kila siku,
Una kaujinga kengi mno

galatasaray yuko nyuma makombe 6 ya ligi kwa huyu, angekua anachukua kila siku kwann akawa nyuma??

alafu kwa utopolo wako, nani kasema wanaenda msimu huu???
 
Una kaujinga kengi mno

galatasaray yuko nyuma makombe 6 ya ligi kwa huyu, angekua anachukua kila siku kwann akawa nyuma??

alafu kwa utopolo wako, nani kasema wanaenda msimu huu???
Hahahahahahahahah Fenerbhace wameshajifia miaka mingi,Kilichobakia kwao ni Historia tu na sio vinginevyo, Achilia mbali Galatasaray Basaksehir,Fenerbhace kwa uwezo walionao hivi sasa hata kwa Goztepe hawafiki.
 
Ona huyu, umeshindwa hata kutumia Smartphone yako kupekua pekua ngoja nikusaidie

Tokea msimu wa 1995 mpaka leo 2020

Kamaliza nafasi ya 4 mara 2
Nafasi ya 6 mara 2 na 7 mara moja .. jumla misimu mitano

Misimu mingine yoote 20 iliyosalia, kama sio bingwa basi ni nafasi ya pili kama sio nafasi ya pili Basi ni nafasi ya tatu

kuanzia msimu wa 2009 hadi leo 2020

Kachukua ubingwa mara 2
Nafasi ya pili kamaliza mara 6
Nafadi ya tatu mara 1
nafasi ya 6 mara 1 na 7 moja

utasemaje hii timu imejifia zamani ??

kama ndani ya misimu 11 iliyopita, misimu 8 kamaliza ndani ya TOP 2 , hizo guts za kusema wamejifia unazitolea wapi Utopolo ww???

punguza kutumia simu kuangalia porn sana, itumie kujifunza walau kidogo

Sokapohapa
 
Hahahahahahahahah Baada ya kwenda Samatta ndio umeenda ku Google historia ya Fenerbhace ,Fernabhance imeshapotea kwenye ramani ya soka la Uturuki na ulaya tangu mwaka 2014 Huu ni mwaka wa 6 Hata kikombe cha mbuzi hawana,Uefa Champions league yenyewe tu tangu mwaka 2013 mpaka leo hawajarudi hahahahahahahahah Unaniambia porojo gani wewe.
 
Mkuu, mbona unaniangusha sana

Wewe umetaja misimu ambayo hao jamaa wamefanya vizuri, hujataja misimu ambayo wameshiriki, hivyo ni vitu viwili mzee baba

nikupe elimu kidogo

SUPER LIG (Turkish league) inapeleka club 4 mashindano ya ulaya

Aliebeba ligi, Anafuzu moja kwa moja group stage UCL

nafasi ya pili anaanzia mtoano Round ya 3

nafasi ya tatu na nne hao ni Europa league

kwa miaka 11 iliyopita, miaka 8 kamaliza ndani ya top 2,

ndani ya miaka 10 iliyopita ni misimu miwil tu hajashirki, msimu alio maliza nafasi ya 7 na msimu jana alio maliza nafasi ya 6

mingine yote kashiriki, i rest my case.. mengine kapekue mwenyewe
 
Na tayari Samatta keshatupia goli dakika ya 24!!
 
[emoji93] Maçın yıldızları; Altay Bayındır - Mbwana Samatta! Maç sonu açıklamaları profilimizde!
 
Wazungu walivyo na wivu! Watamretain Villa maana ni Mkopo huo, tufurahie hadi atakaposajiriwa rasmi na Fernabache
 
Back
Top Bottom