Mbwana Samatta asajiliwa Fenerbahce ya Uturuki

Mbwana Samatta asajiliwa Fenerbahce ya Uturuki

So nasisi mashabiki tunaenda uturuki da!

Naomba acheze na galatasary mechi ijayo
Turkish Superlig inaoneshwa ESPN africa. Cha msingi tumpe sapoti kijana wetu. Ametuletea hishma kubwa sisi watz kwenye medani ya soka la ushindani.
 
Yani kunamijitu kabisa inasema kwisha habar yake hivi watanzania mnamioyo ya Aina gani Kwanza kabla hujamponda mwenzio jitazame wewe hapo ulipo kwa nafasi yako unastahili uwepo hapo ndio mtazame na mwenzio binafsi hiyo club aliyo kwenda ni club kubwa kuliko vila kinacho wabeba waingereza ni kua na ligi Bora tu hongera Samatta
Nakwambia Watz ni watu wa ajabu kwelikweli ndo maana sikushangaa humu JF, kuona watu wanashangilia Kwa Fatuma Karume kuondolewa toka Kampuni ya Mawakili ya Imma Advocates !!
Yaani, mwenye njaa anamcheka aloshiba...ndo haya sasa ya Mbwana Samatta....
 
Yani kunamijitu kabisa inasema kwisha habar yake hivi watanzania mnamioyo ya Aina gani Kwanza kabla hujamponda mwenzio jitazame wewe hapo ulipo kwa nafasi yako unastahili uwepo hapo ndio mtazame na mwenzio binafsi hiyo club aliyo kwenda ni club kubwa kuliko vila kinacho wabeba waingereza ni kua na ligi Bora tu hongera Samatta
Unajua tatizo kubwa la wanamichezo wetu na wanamuziki kinachowaponza ni unafki na uvyama , unapokuwa mwanamziki au mwanamichezo inatakiwa mambo ya siasa uweke pembeni kidogo. Ila uyu Samata moja kwa moja anaparticles za CCM, ndo Mana watu wanashangilia anguko lake. .Hata Mimi nasema Kwisha habari yake huko kwenye league ndogo. Tena iyo timu ilikuwa na performance Mbovu msimu uliopita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani kunamijitu kabisa inasema kwisha habar yake hivi watanzania mnamioyo ya Aina gani Kwanza kabla hujamponda mwenzio jitazame wewe hapo ulipo kwa nafasi yako unastahili uwepo hapo ndio mtazame na mwenzio binafsi hiyo club aliyo kwenda ni club kubwa kuliko vila kinacho wabeba waingereza ni kua na ligi Bora tu hongera Samatta
Juhudi za awamu ya tano zimefeli hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kocha wa Aston Villa kalalamika jamaa haoneshi kitu mazoezin, huku nako akileta ufadha, yatakuwa yaleyale, waarabu siyo watu wa mchezomchezo, na safari hii atajipalilia njia ya kwenda marekan au India.
Waarabu tena? Waturuki na Waarabu wapi na wapi
 
Kwa umri wake ndio biashara imeisha hapo aje simba aungane na chama
 
TATIZO KUBWA LA WATANZANIA NI UNAFIKI!!....NA HAKUNA JAMBO GUMU KAMA KUISHI NA WATU WANAFIKI.......

NI BASI MUNGU ANATUPIGANIA VIUMBE WAKE LAKINI TUNGEPATA KUZIONA NYOYO ZA TUNAOWAITA MARAFIKI WANAOTUSIFIA......TUNGEJIFUNGIA NDANI......

USONI ANAFURAHIA MAFANIKIO YAKO.....MOYONI ANAOMBEA ANGUKO LAKO.......

MUNGU TUPE NGUVU NA UJASIRI MAANA PEKE YETU HATUWEZI.........

UNAFURAHIAJE ANGUKO LA MWANADAMU MWENZAKO!!!?
 
Kwa jinsi wabongo tulivyokichafua insta aisee tuna ujinga wa kila rangi😂
 
Merhaba Fenerbehçe patronları, birlikteyiz ve samatta kaptanı diego'yu ağırladığınız için çok teşekkür ederiz, oradan başlamak zorunda, tüm kazanan komiteler orada [emoji1241] düşünmeyin
 
QUOTE="Ryaro wa Ryaro1233, post: 36796916, member: 581022"]
God Bless Mr. Samatta our Footballer role Modal.
[/QUOTE]
Aya shasha akakwingiria Ras Chimba
 
Back
Top Bottom