Mbwana Samatta asajiliwa Fenerbahce ya Uturuki

Mbwana Samatta asajiliwa Fenerbahce ya Uturuki

Technically bado ni mchezaji wa Villa, isipokuwa tu nadhani katika mkataba wake na Fener...kuna kipengele cha kununuliwa moja kwa moja next summer...
 
Waliodanganya kwenda EPL sababu ya sifa tu eti anacheza EPL.Aisee lina Shaffih sio watu wazuri. Mwaka 2022 anarudi Simba.
Wacheni mioyo yenu mibovu.....dogo lazima apige u turn arudi uingereza......
manake pale Turkey amekwenda kwa mkopo
 
Kocha wa Aston Villa kalalamika jamaa haoneshi kitu mazoezin, huku nako akileta ufadha, yatakuwa yaleyale, waarabu siyo watu wa mchezomchezo, na safari hii atajipalilia njia ya kwenda marekan au India.
Acha kuishi kwa kukariri,Umesha angalia alivyokuwa vizuri alipokuwa na Genk,kosa alilofanya ni kwendaA.Vila,Vila ni timu kilaza sana ni hivyo tu ipo EPL,lakini angepata timu kama Arsenal wakati anatoka Genk ungemshangaa,sasa unaweza kukuta huko alikoenda anaweza akawa ni hatari mpaka ukashangaa.Mchezo wa Samatta ili afanye vizuri ni lazima kuwe na washambuliaji kama wawili au watatu lakini kwa kumtegemea yeye mwenye atafute na kufunga kwake inakuwa ngumu...
 
Hakafu kwa taarifa yenu sasa fernabache ni klabu kubwa na bora kuliko Aston villa
Kwa mmii amepanda daraja hongera sana
 
Hiyo timu ndo kwanza naisikia..😅
 
Nyinyi endeleeni kukesha kwenye mitandao kumponda, mwenzenu anaendelea kula dollar ...
Atoke wapi aende wapi sio ishu, watu wanaangalia pesa .

Mnaoponda subirini siku akikosa timu ulaya ... Fenerbance ni timu ina historian kubwa ulaya tena uenda zaidi ya Astonvilla.
 
Watanzania walivyokubuhu kwa roho za kichawi,kishirikina na kizandiki basi hapo kila mtu anaiombea Villa majanga ya kushuka daraja.
 
So nasisi mashabiki tunaenda uturuki da!

Naomba acheze na galatasary mechi ijayo
 
Back
Top Bottom