Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,933
Ndugu wa Tanzania
Asante sana kwa wakati wote tuliopambana pamoja katika wakati mzuri na ule uliotufunza.. nimejivunia utanzania wangu popote duniani nilipojaaliwa kufika.. nimefurahia vipindi vyote nilipopata nafasi ya kuvaa jezi ya timu yangu ya taifa nimejaribu kadri niwezavyo kupambana kuwapa furaha..
Lakini kama inavyosemwa kila lililo na mwanzo halikosi mwisho huu ndo mwisho wangu kama mchezaji kiwanjani lakini sio mwisho wa mapenzi na sapoti yangu kwa timu ya taifa ya Tanzania.. tutakutana jukwaani kuwasapoti wanajeshi wetu.
ASANTE WATANZANIA WENZANGU Asante TFF na Wizara ya Michezo 🫡 mimi pamoja na familia yangu tunashukuru na tutaendelea kuipenda na kuombea kheri timu yetu ya taifa.