Amechelewa sana, anyway kila la heri kwake
Ulipotea sana promoterMbwana Samatta, greatest of all time.
Hajawai tokea kama yeye kwenye ardhi ya Tanzania.
Roho mbaya za waswahili zimefanya asipewe heshima anayopaswa kupewa.
Oya kwa vipi hapo?Hongera sn samataaa
View attachment 3624710
Ulitaka akuhonge ndo awe msaada?Hajawahi kuwa na msaada wowote aende zake.
Fala tu huyo hana impact yeyote alifikiri kutuaga tutaanza kulia machozi.Ulitaka akuhonge ndo awe msaada?
Oya kwa kuwa upo karibu na maza chonga naye basi atandaze lami kutoka Sanya juu hadi longido kina mama yeyoo wafurahi.Fala tu huyo hana impact yeyote alifikiri kutuaga tutaanza kulia machozi.