Duh! Wanaweza kusababisha jamaa ahujumiwe na wachezaji wenzake, anyimwe hizo pasi kabisa.
Anacholalamika Samatta ni kama kinachotokea humu JF. Watu wanatukana na kushambulia wenzao bila sababu ya msingi utadhani taifa letu ni la watu vichaa tupu.
Hakuna kuvumuliana wala kujenga hoja, ni matusi tu kama watu wana msongo wa mawazo.
Mpoki kamshauri aachane na mitandao vinginevyo hatafika anapotaka fika
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂nimecheka mpak machoz apo alipo Sema "TENA NYAMAZA KABISA " 😂😂😂kwel hii ndio bongoBaadhi ya watanzania ni aina ya wale ndugu mmoja akifanikiwa basi anabebeshwa mzigo wote wa malezi ya ukoo, kila kona atatangazwa na kusifiwa balaa, Ole wake atakayemchokoza huyo mfanikiwa au yeye mwenyewe akionyesha dalili za kuelemewa lawama za wanandugu.
Kwahiyo wangeingia CHADEMA madarakani watanzania wasingekuwa wapumbavu?
COWARD get off my wayKwahiyo wangeingia CHADEMA madarakani watanzania wasingekuwa wapumbavu?
Jibu swali acha miemuko.
Kwa kuongezea ni malimbukeni na washamba Sana , Samata yupo nchi za watu ambao wapo well educated, na amejua ni Kwa jins gan watanzania wanaonyesha ushamba wa Hali ya juu...With All Due Respect, Mashabiki wengi wa soka hapa Bongo ni Wapumbavu.
Mzee akili zetu tunazijua wenyewe, nahisi yule mtume aliyese enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga bora angesema enyi watanzania msio na akili ni nani aliyewaroga!Sijawah kuona wakenya wamejazana na maneno ya kijinga page ya Spurs hata page ya Simba sijawah kuona Wanyarwanda wanaongelea Kagere the same kwa Liverpool sijaona Senegalese sijui hii nchi ilitokana na kizazi cha nini
Sent using Jamii Forums mobile app