Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Nini kunyimwa pasi hata kama ni mchezaji mzuri,club haitavumilia udhalilishaji huo wanaweza mtoa kwa mkopo au kumpiga benchi bila sababu za msingi
Duh! Wanaweza kusababisha jamaa ahujumiwe na wachezaji wenzake, anyimwe hizo pasi kabisa.