Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,339
- 5,112
Kuna shida mahali sio bureeBaadhi ya watanzania ni aina ya wale ndugu mmoja akifanikiwa basi anabebeshwa mzigo wote wa malezi ya ukoo, kila kona atatangazwa na kusifiwa balaa, Ole wake atakayemchokoza huyo mfanikiwa au yeye mwenyewe akionyesha dalili za kuelemewa lawama za wanandugu.
Yan matusi ya kibongo yanauma kinoma sijajua ni lugha au nn kinafanya mtu aumie endapo ukitukanwa ! Bongo nyoso Bongo nomaWabongo wanakosea sana,angalia yule jamaa wa Senegal aliyefunga goli vs taifa stars,walivyomtukana hadi jamaa akatoa ya moyoni,ili kufuta aibu waziri wa utalii akampa offer ya bure kuja kutalii serengeti.
Ni aibu sana kwa hawa wabongo wenzetu wenye viherehere
Sent using Jamii Forums mobile app
Miemuko[emoji3582]Jibu swali acha miemuko.
Sema wewe ndiyo MPUMBAVUWith All Due Respect, Mashabiki wengi wa soka hapa Bongo ni Wapumbavu.
Sema wewe ndiyo MPUMBAVU
Comments zetu za kiswahili Wazungu wataziona wapi au bado tu nidhamu yake ya wogaDuh! Wanaweza kusababisha jamaa ahujumiwe na wachezaji wenzake, anyimwe hizo pasi kabisa.