Mbwana Samatta awachoka Watanzania wakorofi mtandaoni, awataka kuacha maneno ya kashfa

Mbwana Samatta awachoka Watanzania wakorofi mtandaoni, awataka kuacha maneno ya kashfa

Ukiingia kwenye page ya facebook ya aston villa yaani wewe unayesoma ndio unaona aibu! Kiswahili chenyewe cha xaxa,ww, yaani hata google translate haina msaada.
 
Baadhi ya watanzania ni aina ya wale ndugu mmoja akifanikiwa basi anabebeshwa mzigo wote wa malezi ya ukoo, kila kona atatangazwa na kusifiwa balaa, Ole wake atakayemchokoza huyo mfanikiwa au yeye mwenyewe akionyesha dalili za kuelemewa lawama za wanandugu.

Kuna shida mahali sio buree
 
Wabongo wanakosea sana,angalia yule jamaa wa Senegal aliyefunga goli vs taifa stars,walivyomtukana hadi jamaa akatoa ya moyoni,ili kufuta aibu waziri wa utalii akampa offer ya bure kuja kutalii serengeti.

Ni aibu sana kwa hawa wabongo wenzetu wenye viherehere

Sent using Jamii Forums mobile app
Yan matusi ya kibongo yanauma kinoma sijajua ni lugha au nn kinafanya mtu aumie endapo ukitukanwa ! Bongo nyoso Bongo noma
Baba akooo [emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG-20200203-WA0023.jpg
 
Mikwara inaendelea aisee samatta ana kazi kubwa
IMG_20200204_112734.jpg
 
Kwa kifupi mashabiki wengi wa soka hapa bongo ndio hawo wa Simba na yanga na akili zao ndio hizo za usimba na uyanga ss hizo akili zao ndio wanazipeleka huko aston Villa aise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom