Acha kuwangaMmemaliza?
Mbwana Samata yupo huko aliko kwa juhudi zake. Hajaenda kumuwakilisha yeyote kati yenu, niwakumbushe kuwa sio Olympic ile. Arsenal sio Simba koko kiasi mtu akifunga goli moja kwa miezi mitatu tu basi anatupiwa jezi akakipige Emirates
mkuu, Samatta yuko vizuri sana ila akienda ASENOO atapoteza kiwango...namshauri aende CHELSEA, The Blues. umeona eeh?Jana kapiga goli zuri sana huyu jamaa katuwakilisha vizuri sana ulaya, ni bora hata Wenger akafikiria kumchukua
dogo apige KAZI, asibweteke...bado ana safari ndefu kuelekea EPL.
Hahahahahaaaaaa! Huuuuuuuuuuuuwiiii!!!! Umenifurahisha mkuu.umesahau kunywa dawa zako, au umelkatisha dozi!??
Umemaliza kila kitu mkuu.Mmemaliza?
Mbwana Samata yupo huko aliko kwa juhudi zake. Hajaenda kumuwakilisha yeyote kati yenu, niwakumbushe kuwa sio Olympic ile. Arsenal sio Simba koko kiasi mtu akifunga goli moja kwa miezi mitatu tu basi anatupiwa jezi akakipige Emirates
Ila nashukuru kuona samata anazidi kuonesha uwezo hata akitokea benchi.. Watamuelewa tu..Samatta ameshacheza mechi nyingi na amekuwa akifanya vizuri ila huyu kocha sijui kwanini bado hana imani nae, amekuwa akimwanzisha benchi sana kuliko kuanza, ata game ya jana kaingia dakika ya 79, kuanzia benchi kwa mchezaji mpya ni sawa ila sio kwa status aliyonayo samatta ya kuwa mchezaji bora katika ligi za Africa, inakuwa km dharau hivi, anyway dogo ana baraka zote za watanzania na tuna imani nae
Mungu Baba, bariki miguu ya mtanzania huyu, Baba miguu ya huyu ifunge magoli zaidi, itembee maili za mbali zaidi ya Belgium, nyota yake ing'ae mpk kwa Prof. Arsene Wenger ama Zidane!
Wote semeni Amiin.
Bangi mbaya sanaMmemaliza?