Forbes1990
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 513
- 991
Wenzake ni kama walimtenga hivi hasa kipindi cha kwanza walikuwa hawampasii mpira wanapasiana wenyewe tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hali ya hewa pia ni tofauti, mwili lazma uji adjust ki London London