Mbwana Samatta kapambana kadri alivyoweza kwa mechi ya kwanza, siyo mbaya

Mbwana Samatta kapambana kadri alivyoweza kwa mechi ya kwanza, siyo mbaya

CHIBE BOYS, Sikubaliani na wewe hata kidogo. Kuna mengi sana uwanjani kuanzia maelekezo ya mwalimu, mfumo, wachezaji kuwa na chemistry sawia, mood ya wachezaji siku ya mechi husika pamoja na mchezaji husika kuwaelewa wenzake.

Mpe Samata muda. Usiwe mwepesi kuhukumu.

Mbona pepe wa Arsenal kushindwa kucheza alivyokuwa akicheza Ufaransa? Na anapewa rate ya 5 sio maramoja? Acha acheze walau mechi kumi ndio uongee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHIBE BOYS, p

"Hajitumi" na kishavunja rekodi zote hizo.

Hivi sisi tunajuwa mpira zaidi ya waliomnunuwa na kumpa namba?

Maoni yako yapo "biased".
 
Back
Top Bottom