Mbwana samatta katupia tena vs standard liege

Mbwana samatta katupia tena vs standard liege

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
kama kawaida mwana mbagala katupia dakika ya 84 ila kama kawaida ya ujinga wa defence ya genk goal likasawazishwa dakika ya 90 lakini bado wanaongoza ligi
Samatta kafikisha goals 8 yupo kwenye kundi la wanaoongoza kwa magoli
Capture.PNG
 
Back
Top Bottom