Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Duuh mkuu hadi wewe, kwamba haujaelewa kuwa hiyo ni kejeli au, sikutegemea kama ungeshindwa kuelewa jambo dogo kama hiloView attachment 3267385
Acha kujidhalilisha wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh mkuu hadi wewe, kwamba haujaelewa kuwa hiyo ni kejeli au, sikutegemea kama ungeshindwa kuelewa jambo dogo kama hiloView attachment 3267385
Acha kujidhalilisha wewe
Mgerasi wewe endelea kuvuta bangi tu, maendeleo waachie wengineHuyo fundi aliyemjengea ana mkono mzuri. Yani kitu kimenyooka.
Big up Samagoals
National treasure.
N de A
Daah! Nimecheka balaa, mgerasi yeye ni ndumu tu halafu akimaliza kuvuta kichwa cha chini kikiamka anatafuta bibi la kizungu bongebonge anajipooza anasubiri kukuche akavute tena.Mgerasi wewe endelea kuvuta bangi tu, maendeleo waachie wengine
Kanisani road (karibu na kanisa la mama rwakatale)Nyumba ziko Mikocheni karibu na Clouds fm
Hakika. Sema kukaa apartments A Waswahili mtihani sana humo ndani hutakosa jumva lao lile kelele kuanzia AlfajiriKama ameshaandika majina yake hizo si kelele tu pia..?
Uchawa ni ajira.. mwenzio analipwa hapoYeye kaamua kutokupiga kelele ila wewe sasa chawa!..[emoji1787]