Mbwana Samatta: Kwa hili umefeli, na hamtafanya chochote huko AFCON

zinc

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Posts
1,391
Reaction score
1,068
Wadau wa JF,

Habari ndugu zangu, kwanza kabisa nawapongeza taifa kwa kwenda kushiriki afcon 2019 nchini Misri japo kimazabe.

Leo nimemsikia Samatta akisema wanaenda kucheza michuano hiyo kwa lengo la kuleta heshima kwa Tanzania na Awamu ya tano ya uongozi huu.

Kama ni kwa ajili ya Tanzania, nampa big up. Lakini kaniboa kuitaja wanaenda kucheza kwa ajili ya serikali ya awamu hii ya tano.

Hivi Samatta hajajifunza kuzungumza kwenye media au na yeye anaupata ukichaa, maana pembeni yake alikuwepo Juliana Shonza.

Huyu dada ni Naibu Waziri Wa Michezo sijui, au ndiyo naye ameamua kumuambia azungumze hivyo?

Basi Taifa Stars itarudi mapema sana nyumbani na haitafika mbali kwa sababu kapteni wao kashaanza kuwagawa Watanzania.
 
Toa ujinga wako, huo wivu uliopitiliza utakuua. Uchaguzi ushaisha naona na waliokatwa mikia wakarudi walikotoka.

Sasa ulisema awape heshima Nyumbu au
 
Ngoja ni mark your words, nitakukumbusha
Wakitoka huko Misri na mabao matatu (3) ya kufunga nitaacha hii ID ya Viatu vya Samaki na kuja na mwingine mpya.

Wakitoka huko Misri na mabao chini ya 6 ya kufungwa pia nitaachana na hii ID.
 
Samata anaenda AFcon kuikatikia serikali ya hawamu ya tano!!!?
 
Watarudi na mabao zaidi ya 10
Wakitoka huko Misri na mabao matatu (3) ya kufunga nitaacha hii ID ya Viatu vya Samaki na kuja na mwingine mpya.

Wakitoka huko Misri na mabao chini ya 6 ya kufungwa pia nitaachana na hii ID.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…