Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AbsolutelyKwa maana nyingine wakifungwa lawama ni za awamu ya tano!
Hayo mabao matatu ya kufunga tutaifunga timu ipi?Wakitoka huko Misri na mabao matatu (3) ya kufunga nitaacha hii ID ya Viatu vya Samaki na kuja na mwingine mpya.
Wakitoka huko Misri na mabao chini ya 6 ya kufungwa pia nitaachana na hii ID.
Kulikuwa kuwa kuna haja gani ya kuitaja serikali ya awamu ya 5? Kwani kusema kuliletea taifa heshima kuna ubaya gani kuliko kuingingiza mineno yenye ladha za kisuasa?Punguza chuki basi, kusema kulipa heshima taifa na serikali awamu ya tano ndio imekuwa shida?
Na we upendi mkuu? Namuona yupo sahihi maana ndio serikali iliyopo madarakani na kasemea hayo kulikuwepo viongozi wa awamu ya tano walivyokuwa wanaagwaanawakilisha serikali ya awamu ya tano.
Kuna shida yoyote kuitaja?Kulikuwa kuwa kuna haja gani ya kuitaja serikali ya awamu ya 5? Kwani kusema kuliletea taifa heshima kuna ubaya gani kuliko kuingingiza mineno yenye ladha za kisuasa?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Nimefikiria nimeona hatutapata bao hata moja.Hayo mabao matatu ya kufunga tutaifunga timu ipi?
Nasubiria jibu nikauke kwa kicheko...
Hapo sawa. Umenisaidia kutovunja mbavu zangu kwa kicheko kisicho na tija[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Nimefikiria nimeona hatutapata bao hata moja.
Labda mabao ya bafuni...Hapo sawa. Umenisaidia kutovunja mbavu zangu kwa kicheko kisicho na tija
Hayo sawa... Hapo kina Mo Salah na Sadio Mane watatutambua wallahLabda mabao ya bafuni...
acha kuimbea mabaya timu yetu ya taifa,hupati faida yoyote endapo timu hii ikifanya vibaya.......Wadau wa JF,
Habari ndugu zangu, kwanza kabisa nawapongeza taifa kwa kwenda kushiriki afcon 2019 nchini Misri japo kimazabe.
Leo nimemsikia Samatta akisema wanaenda kucheza michuano hiyo kwa lengo la kuleta heshima kwa Tanzania na Awamu ya tano ya uongozi huu.
Kama ni kwa ajili ya Tanzania, nampa big up. Lakini kaniboa kuitaja wanaenda kucheza kwa ajili ya serikali ya awamu hii ya tano.
Hivi Samatta hajajifunza kuzungumza kwenye media au na yeye anaupata ukichaa, maana pembeni yake alikuwepo Juliana Shonza.
Huyu dada ni Naibu Waziri Wa Michezo sijui, au ndiyo naye ameamua kumuambia azungumze hivyo?
Basi Taifa Stars itarudi mapema sana nyumbani na haitafika mbali kwa sababu kapteni wao kashaanza kuwagawa Watanzania.
Hata uchaguzi tu wa timu ni mbovu sana.Wakitoka huko Misri na mabao matatu (3) ya kufunga nitaacha hii ID ya Viatu vya Samaki na kuja na mwingine mpya.
Wakitoka huko Misri na mabao chini ya 6 ya kufungwa pia nitaachana na hii ID.