Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana tu awamu ya tano inahusikaje hapo? Toa kamasi kichwani aisee!Punguza chuki basi, kusema kulipa heshima taifa na serikali awamu ya tano ndio imekuwa shida?
Sio matatu mkuu, mimi wakirudi nyumbani ata na goli moja tu la kufunga najiondoa jf kabisa.Wakitoka huko Misri na mabao matatu (3) ya kufunga nitaacha hii ID ya Viatu vya Samaki na kuja na mwingine mpya.
Wakitoka huko Misri na mabao chini ya 6 ya kufungwa pia nitaachana na hii ID.
Toa zako kwanza.Sana tu awamu ya tano inahusikaje hapo? Toa kamasi kichwani aisee!
Serious?Wakitoka huko Misri na mabao matatu (3) ya kufunga nitaacha hii ID ya Viatu vya Samaki na kuja na mwingine mpya.
Wakitoka huko Misri na mabao chini ya 6 ya kufungwa pia nitaachana na hii ID.
Naam!Serious?
Wadau wa JF,
Habari ndugu zangu, kwanza kabisa nawapongeza taifa kwa kwenda kushiriki afcon 2019 nchini Misri japo kimazabe.
Leo nimemsikia Samatta akisema wanaenda kucheza michuano hiyo kwa lengo la kuleta heshima kwa Tanzania na Awamu ya tano ya uongozi huu.
Kama ni kwa ajili ya Tanzania, nampa big up. Lakini kaniboa kuitaja wanaenda kucheza kwa ajili ya serikali ya awamu hii ya tano.
Hivi Samatta hajajifunza kuzungumza kwenye media au na yeye anaupata ukichaa, maana pembeni yake alikuwepo Juliana Shonza.
Huyu dada ni Naibu Waziri Wa Michezo sijui, au ndiyo naye ameamua kumuambia azungumze hivyo?
Basi Taifa Stars itarudi mapema sana nyumbani na haitafika mbali kwa sababu kapteni wao kashaanza kuwagawa Watanzania.
In kinyambe voiceKila kitu ni siasa. Soka wanaingiza siasa. Kwenye kuhitaji utaalamu saisa inaingia. Yaani ni siasa, siasa, siasa.........................................................siasaaaaaaaaaaaaaahhhhhhh
Dah....kumbe Kuna watanzania bado wanaishi awamu ya nne....dah[emoji41]Wadau wa JF,
Habari ndugu zangu, kwanza kabisa nawapongeza taifa kwa kwenda kushiriki afcon 2019 nchini Misri japo kimazabe.
Leo nimemsikia Samatta akisema wanaenda kucheza michuano hiyo kwa lengo la kuleta heshima kwa Tanzania na Awamu ya tano ya uongozi huu.
Kama ni kwa ajili ya Tanzania, nampa big up. Lakini kaniboa kuitaja wanaenda kucheza kwa ajili ya serikali ya awamu hii ya tano.
Hivi Samatta hajajifunza kuzungumza kwenye media au na yeye anaupata ukichaa, maana pembeni yake alikuwepo Juliana Shonza.
Huyu dada ni Naibu Waziri Wa Michezo sijui, au ndiyo naye ameamua kumuambia azungumze hivyo?
Basi Taifa Stars itarudi mapema sana nyumbani na haitafika mbali kwa sababu kapteni wao kashaanza kuwagawa Watanzania.
Litunze hili agano lako Mkuu ili yakitokea utimize Kama ulivyoahidi.Wakitoka huko Misri na mabao matatu (3) ya kufunga nitaacha hii ID ya Viatu vya Samaki na kuja na mwingine mpya.
Wakitoka huko Misri na mabao chini ya 6 ya kufungwa pia nitaachana na hii ID.
Mabao Matatu ni mengi (wakipata mabao mawili 2 ya kufunga).Litunze hili agano lako Mkuu ili yakitokea utimize Kama ulivyoahidi.
Wadau wa JF,
Habari ndugu zangu, kwanza kabisa nawapongeza taifa kwa kwenda kushiriki afcon 2019 nchini Misri japo kimazabe.
Leo nimemsikia Samatta akisema wanaenda kucheza michuano hiyo kwa lengo la kuleta heshima kwa Tanzania na Awamu ya tano ya uongozi huu.
Kama ni kwa ajili ya Tanzania, nampa big up. Lakini kaniboa kuitaja wanaenda kucheza kwa ajili ya serikali ya awamu hii ya tano.
Hivi Samatta hajajifunza kuzungumza kwenye media au na yeye anaupata ukichaa, maana pembeni yake alikuwepo Juliana Shonza.
Huyu dada ni Naibu Waziri Wa Michezo sijui, au ndiyo naye ameamua kumuambia azungumze hivyo?
Basi Taifa Stars itarudi mapema sana nyumbani na haitafika mbali kwa sababu kapteni wao kashaanza kuwagawa Watanzania.
Mane wa Senegal ndo akabwe na Yondani,Salah akabwe na Yondani na kina nyoni,kazi ipo
Mimi sitafuti pressure. Niliacha kushabikia Taifa Stars kuanzia siku ile tulipopanga matokeo na Uganda tukafuzu. Kambi tunaweka uswahilini wenzetu wako UAE. Tesekeni tu nyie mimi No . Minimum kufungwa 3-0 .