Mbwana Samatta: Kwa hili umefeli, na hamtafanya chochote huko AFCON

Mbwana Samatta: Kwa hili umefeli, na hamtafanya chochote huko AFCON

Msilete visingizio hapa,hata munge sema kwa ajili ya nani kama kurudi mapema kupo tu. Maana kama senegal ameita professionals players 25 wote wana cheza nje sisi tuna Msuva , Samatta na Kessy tu ambao wana namba za uhakika kwenye timu zao. Tujiulize.
 
Wakitoka huko Misri na mabao matatu (3) ya kufunga nitaacha hii ID ya Viatu vya Samaki na kuja na mwingine mpya.

Wakitoka huko Misri na mabao chini ya 6 ya kufungwa pia nitaachana na hii ID.
Hayo mabao matatu ya kufunga tutaifunga timu ipi?

Nasubiria jibu nikauke kwa kicheko...
 
Punguza chuki basi, kusema kulipa heshima taifa na serikali awamu ya tano ndio imekuwa shida?
Kulikuwa kuwa kuna haja gani ya kuitaja serikali ya awamu ya 5? Kwani kusema kuliletea taifa heshima kuna ubaya gani kuliko kuingingiza mineno yenye ladha za kisuasa?
 
Mm binafsi hata sina uzalendo acha tukajiaibishe maana kufuzu kwetu kuna Mkuu Wa nini sijui lkn ni kilaza kuliko wakuu wote alijiona hamasa yake ndo imesababisha kumbe game ilishanunuliwa kitambo. Huko misri mtatafuta pakuficha nyuso zenu
 
anawakilisha serikali ya awamu ya tano.
Na we upendi mkuu? Namuona yupo sahihi maana ndio serikali iliyopo madarakani na kasemea hayo kulikuwepo viongozi wa awamu ya tano walivyokuwa wanaagwa
 
Wadau wa JF,

Habari ndugu zangu, kwanza kabisa nawapongeza taifa kwa kwenda kushiriki afcon 2019 nchini Misri japo kimazabe.

Leo nimemsikia Samatta akisema wanaenda kucheza michuano hiyo kwa lengo la kuleta heshima kwa Tanzania na Awamu ya tano ya uongozi huu.

Kama ni kwa ajili ya Tanzania, nampa big up. Lakini kaniboa kuitaja wanaenda kucheza kwa ajili ya serikali ya awamu hii ya tano.

Hivi Samatta hajajifunza kuzungumza kwenye media au na yeye anaupata ukichaa, maana pembeni yake alikuwepo Juliana Shonza.

Huyu dada ni Naibu Waziri Wa Michezo sijui, au ndiyo naye ameamua kumuambia azungumze hivyo?

Basi Taifa Stars itarudi mapema sana nyumbani na haitafika mbali kwa sababu kapteni wao kashaanza kuwagawa Watanzania.
acha kuimbea mabaya timu yetu ya taifa,hupati faida yoyote endapo timu hii ikifanya vibaya.......


wachawi wa Tanzania ni WATANZANIA wenyewe....
shame on you
 
Wakitoka huko Misri na mabao matatu (3) ya kufunga nitaacha hii ID ya Viatu vya Samaki na kuja na mwingine mpya.

Wakitoka huko Misri na mabao chini ya 6 ya kufungwa pia nitaachana na hii ID.
Hata uchaguzi tu wa timu ni mbovu sana.
 
Back
Top Bottom