Mbwana Samatta: Kwa hili umefeli, na hamtafanya chochote huko AFCON

Binafsi Nilijua hatufiki popote!
Eti awamu ya Tano!!! Shame shame.... Utumbo utumbo, firigisi firigisi hao wajinga wanaotudhalilisha na siasa zao za kichawi.

Mkuu zinc uliliona hili mapema.
Samata alianza kuleta ujinga wake kabla hata hajafika misri
 
Yametimia jana nami kwa moyo mkunjufu kabisa nasema mawowowo fc nje, yaani nje kabisa.
+254 hongereni kwa kukata ngebe za wanasiasa uchwara wa nchi ya kusadikika.
 
Yametimia
 
Haijawa shida, ila si Umeona lakini mambo si mambo
mambo nimeyaona, na binafsi nimeridhishwa na level ya mpira uliochezwa, hakuna mafanikio ya siku moja, vijana wakishiriki mashindano mengi ya ukubwa huu tutafika mbali.
 
mambo nimeyaona, na binafsi nimeridhishwa na level ya mpira uliochezwa, hakuna mafanikio ya siku moja, vijana wakishiriki mashindano mengi ya ukubwa huu tutafika mbali.
Mpira gani umechezwa?
 
All seeing eye.
Great
 
Watu hawataki kuamini kuwa mpira hauhitaji siasa. Mpira unahitaji uwekezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…