Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,007
Mkuu rudi tena na povu lako.Toa ujinga wako, huo wivu uliopitiliza utakuua. Uchaguzi ushaisha naona na waliokatwa mikia wakarudi walikotoka.
Sasa ulisema awape heshima Nyumbu au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu rudi tena na povu lako.Toa ujinga wako, huo wivu uliopitiliza utakuua. Uchaguzi ushaisha naona na waliokatwa mikia wakarudi walikotoka.
Sasa ulisema awape heshima Nyumbu au
Yametimia jana nami kwa moyo mkunjufu kabisa nasema mawowowo fc nje, yaani nje kabisa.Wadau wa JF,
Habari ndugu zangu, kwanza kabisa nawapongeza taifa kwa kwenda kushiriki afcon 2019 nchini Misri japo kimazabe.
Leo nimemsikia Samatta akisema wanaenda kucheza michuano hiyo kwa lengo la kuleta heshima kwa Tanzania na Awamu ya tano ya uongozi huu.
Kama ni kwa ajili ya Tanzania, nampa big up. Lakini kaniboa kuitaja wanaenda kucheza kwa ajili ya serikali ya awamu hii ya tano.
Hivi Samatta hajajifunza kuzungumza kwenye media au na yeye anaupata ukichaa, maana pembeni yake alikuwepo Juliana Shonza.
Huyu dada ni Naibu Waziri Wa Michezo sijui, au ndiyo naye ameamua kumuambia azungumze hivyo?
Basi Taifa Stars itarudi mapema sana nyumbani na haitafika mbali kwa sababu kapteni wao kashaanza kuwagawa Watanzania.
YametimiaWadau wa JF,

mambo nimeyaona, na binafsi nimeridhishwa na level ya mpira uliochezwa, hakuna mafanikio ya siku moja, vijana wakishiriki mashindano mengi ya ukubwa huu tutafika mbali.Haijawa shida, ila si Umeona lakini mambo si mambo
All seeing eye.Wadau wa JF,
Habari ndugu zangu, kwanza kabisa nawapongeza taifa kwa kwenda kushiriki afcon 2019 nchini Misri japo kimazabe. Leo nimemsikia Samatta akisema wanaenda kucheza michuano hiyo kwa lengo la kuleta heshima kwa Tanzania na Awamu ya tano ya uongozi huu.
Kama ni kwa ajili ya Tanzania, nampa big up. Lakini kaniboa kuitaja wanaenda kucheza kwa ajili ya serikali ya awamu hii ya tano.
Hivi Samatta hajajifunza kuzungumza kwenye media au na yeye anaupata ukichaa, maana pembeni yake alikuwepo Juliana Shonza.
Huyu dada ni Naibu Waziri Wa Michezo sijui, au ndiyo naye ameamua kumuambia azungumze hivyo?
Basi Taifa Stars itarudi mapema sana nyumbani na haitafika mbali kwa sababu kapteni wao kashaanza kuwagawa Watanzania.
Siku hizi hata ukijamba utaambiwa ni juhudi za serikali ya awamu ya tano.
footballMpira gani umechezwa?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Ningeondoka humu.Hahahaaa...
Umetisha mzee baba[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Ningeondoka humu.
Nilijua hawawezi kuchomoa.Umetisha mzee baba
Njoo unikumbushe.Ngoja ni mark your words, nitakukumbusha
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Ukamtumia na mwenyekiti wa hamasa?Nime screen shot...
Lol
Hehehehe ile AFCON siyo Koni.Watu wanafikiri mpira unachezwa makao makuu ya chama dodoma