Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Lol, nili screen shot kweli ujue.... ila nilikua nishasahau na vile si mpenzi wa Football.[emoji28] [emoji28] [emoji28] Ukamtumia na mwenyekiti wa hamasa?
Hongera kwa utabiri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lol, nili screen shot kweli ujue.... ila nilikua nishasahau na vile si mpenzi wa Football.[emoji28] [emoji28] [emoji28] Ukamtumia na mwenyekiti wa hamasa?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Taifa * ni timu mbovu kuliko hata Somalia.Lol, nili screen shot kweli ujue.... ila nilikua nishasahau na vile si mpenzi wa Football.
Hongera kwa utabiri.View attachment 1145608
Masikini wee kumbe walianza kujichuria mapema mbaya zaidi Naibu Waziri Kijana badala ya michezo yeye alikuwa hapo kisiasa hafanyi kazi za wizara mechi inachezwa Misri alafu waziri mdogo Juliana shonza yupo kwenye keyboard Lumumba ndiyo matokeo yake Bashite akaiteka wizara akajituma Misri kwenda kuibariki kwa maji mengi Taifa Stars ikawa CCM Stars wakakanyagwa na Wakenya.Wadau wa JF,
Habari ndugu zangu, kwanza kabisa nawapongeza taifa kwa kwenda kushiriki afcon 2019 nchini Misri japo kimazabe.
Leo nimemsikia Samatta akisema wanaenda kucheza michuano hiyo kwa lengo la kuleta heshima kwa Tanzania na Awamu ya tano ya uongozi huu.
Kama ni kwa ajili ya Tanzania, nampa big up. Lakini kaniboa kuitaja wanaenda kucheza kwa ajili ya serikali ya awamu hii ya tano.
Hivi Samatta hajajifunza kuzungumza kwenye media au na yeye anaupata ukichaa, maana pembeni yake alikuwepo Juliana Shonza.
Huyu dada ni Naibu Waziri Wa Michezo sijui, au ndiyo naye ameamua kumuambia azungumze hivyo?
Basi Taifa Stars itarudi mapema sana nyumbani na haitafika mbali kwa sababu kapteni wao kashaanza kuwagawa Watanzania.
Walianza muda tu. Samata anakuwaga kama mjinga akiwa anaongea kwa media. Uswahili tuMasikini wee kumbe walianza kujichuria mapema mbaya zaidi Naibu Waziri Kijana badala ya michezo yeye alikuwa hapo kisiasa hafanyi kazi za wizara mechi inachezwa Misri alafu waziri mdogo Juliana shonza yupo kwenye keyboard Lumumba ndiyo matokeo yake Bashite akaiteka wizara akajituma Misri kwenda kuibariki kwa maji mengi Taifa Stars ikawa CCM Stars wakakanyagwa na Wakenya.
acheni ujinga hii team tulidhani ni yetu sote kumbe tukatangaziwa ni ya wakolomije na ccm huku samatta na msuva wakiongea upupu wao halafu baadaye unayasikia yanalilia uzalendo. shubamit.Ila watanzania tunasafari ndefu sana kufikia malengo tulio kusudia. Sasa hapo samata kakosea nini? Du, kweli kweli adui wa maendeleo ya watanzania ni watanzania wenyewe
Ahahah na ilikuwa kweli, sasa kwa nini ulibadilisha ID mkuuWakitoka huko Misri na mabao matatu (3) ya kufunga nitaacha hii ID ya Viatu vya Samaki na kuja na mwingine mpya.
Wakitoka huko Misri na mabao chini ya 6 ya kufungwa pia nitaachana na hii ID.