Faida pekee ya benki anayoijua ni kujiangalia kwenye vioo akipita kwa nje...mbona hii mada yake hakuileta kwa KiingerezaHajui kiingeraza lkn Mapene anayo , unayejua kiingereza ata Bank zilipo hujui
Mkuu hii mada si ya kijinga. Ni ya kipumbavuThe only thing I know about Samatta is : he is damn good at scoring goals, a real professional footballer, living of it!! Hakusajiliwa Genk kama mtaalam wa lugha.
Iwe mwanzo na mwisho kuanzisha thread za kijinga kama hii.
wamoto hahahaaaa hotgayLabda wa moto kweli.
Faida pekee ya benki anayoijua ni kujiangalia kwenye vioo akipita kwa nje...mbona hii mada yake hakuileta kwa Kiingereza
Mara nyingu humu Jf huwa sipendi kuwajibu watu wanaojifanya "wehu" kwa makusudi kabisa!Kupita shule ndiyo kujua kiingereza?
Ndio shida ya kupenda kukurupuka na mambo msiyoyajua...next time ukizungumza na mimi, anza na shikamoo.Sawa tu ila kwa staa kama huyo kiingereza mtaenda mbele mtarudi nyuma ni muhimu kwake labda kama mikataba ya huko siku hizi wanapewa ya kiswahili.
Ndio shida ya kupenda kukurupuka na mambo msiyoyajua...next time ukizungumza na mimi, anza na shikamoo.
Mkataba, hata ukiwa kwa lugha yako, ni muhimu kumpata mwanasheria autafsiri kwako kwa lugha isiyo ya kisheria, akikuelezea maana za matumizi ya maneno na vifungu vilivyopo ndani yake na namna vitakavyokunufaisha au kukugharimu kulingana na sheria na kanuni za nchi au mamlaka zinazoutambua mkataba huo.
Huko kwa wenzetu, mchezaji huwa ana wakala. Sasa sielewi uonavyo wewe kwa akili yako, kipi kimemfikisha Mbwana Samata huko aliko, FOOTBALL au ENGLISH? Umemtaja kama STAR MKUBWA, je unaweza kunitajia STAR WA ENGLISH unayemjua ili na yeye tumtest uwanjani?
You are truly hot boy! Fruit cake. Gabriel wa Arsenal hajui Kiingereza na still analamba mpunga, ije kuwa Mbwana Samata anayechezea nchi ambayo hata wenyewe hawaongei Kiingereza!
Siwezi kumshangaa mtu ambaye hakupita shule kutokujua kuzungumza kiingereza!
Nitamshangaa yule aliyepita shule tena achana na sekondari, amepita chuo kikuu kabisa halafu hajui kuzungumza hiyo lugha!
Mbwana anajua lugha yake ya taifa tu!
tunakoelekea ni kiza sana vijana mnadhani KIINGEREZA ni ajira au kipimo cha ujuzi wa masuala, tujadilini masuala ya mhim kuliko kiingereza cha SAMATTA mwenye pesa nyingi kuzidi yeyeote kwenye ukoo wenu, tafta solution za matatizo yako na sio kujifurahisha kupitia vitu vya kijinga kama hivi, acheni kufuatilia watu, jamaa yuko Ulaya analipwa na ana pesa wewe unacheza karata Manzese na kiingereza chako cha kuona kwenye muvi, anaongea wanamwelewa acha kuwashwa HOTGAY
umejidhihirisha kwa udaku wako kuwa wewe ni hotInama hata kwa bahati mbaya nikuoneshe io HOTGAY.