Mbwana Samatta nae kumbe ana kiingereza kama cha Mrisho Ngassa

Faida pekee ya benki anayoijua ni kujiangalia kwenye vioo akipita kwa nje...mbona hii mada yake hakuileta kwa Kiingereza

Sawa tu ila kwa staa kama huyo kiingereza mtaenda mbele mtarudi nyuma ni muhimu kwake labda kama mikataba ya huko siku hizi wanapewa ya kiswahili.
 
tunakoelekea ni kiza sana vijana mnadhani KIINGEREZA ni ajira au kipimo cha ujuzi wa masuala, tujadilini masuala ya mhim kuliko kiingereza cha SAMATTA mwenye pesa nyingi kuzidi yeyeote kwenye ukoo wenu, tafta solution za matatizo yako na sio kujifurahisha kupitia vitu vya kijinga kama hivi, acheni kufuatilia watu, jamaa yuko Ulaya analipwa na ana pesa wewe unacheza karata Manzese na kiingereza chako cha kuona kwenye muvi, anaongea wanamwelewa acha kuwashwa HOTGAY
 
Ndio shida ya kupenda kukurupuka na mambo msiyoyajua...next time ukizungumza na mimi, anza na shikamoo.

Mkataba, hata ukiwa kwa lugha yako, ni muhimu kumpata mwanasheria autafsiri kwako kwa lugha isiyo ya kisheria, akikuelezea maana za matumizi ya maneno na vifungu vilivyopo ndani yake na namna vitakavyokunufaisha au kukugharimu kulingana na sheria na kanuni za nchi au mamlaka zinazoutambua mkataba huo.

Huko kwa wenzetu, mchezaji huwa ana wakala. Sasa sielewi uonavyo wewe kwa akili yako, kipi kimemfikisha Mbwana Samata huko aliko, FOOTBALL au ENGLISH? Umemtaja kama STAR MKUBWA, je unaweza kunitajia STAR WA ENGLISH unayemjua ili na yeye tumtest uwanjani?

You are truly hot boy! Fruit cake. Gabriel wa Arsenal hajui Kiingereza na still analamba mpunga, ije kuwa Mbwana Samata anayechezea nchi ambayo hata wenyewe hawaongei Kiingereza!
 
Marahaba.
 
Siwezi kumshangaa mtu ambaye hakupita shule kutokujua kuzungumza kiingereza!

Nitamshangaa yule aliyepita shule tena achana na sekondari, amepita chuo kikuu kabisa halafu hajui kuzungumza hiyo lugha!

Mbwana anajua lugha yake ya taifa tu!

Nini CHUO na pia ana PhD sijui ni ipi hiyo ya Hemed au ni ya kweli

Mimi sio mchochezi nawaza
 
tunakoelekea ni kiza sana vijana mnadhani KIINGEREZA ni ajira au kipimo cha ujuzi wa masuala, tujadilini masuala ya mhim kuliko kiingereza cha SAMATTA mwenye pesa nyingi kuzidi yeyeote kwenye ukoo wenu, tafta solution za matatizo yako na sio kujifurahisha kupitia vitu vya kijinga kama hivi, acheni kufuatilia watu, jamaa yuko Ulaya analipwa na ana pesa wewe unacheza karata Manzese na kiingereza chako cha kuona kwenye muvi, anaongea wanamwelewa acha kuwashwa HOTGAY

Inama hata kwa bahati mbaya nikuoneshe io HOTGAY.
 
tevez...pia anderson walicheza manchester pale hawakujua kingereza kabisa... kwani kutokujua kingereza tatizo lipo wapi?
 
Inanikumbusha yule mkimbiaji wa Rwanda aluesema here is very very hot hot and Gwanda is very very cold cold
 
tevez...pia anderson walicheza manchester pale hawakujua kingereza kabisa... kwani kutokujua kingereza tatizo lipo wapi?

Fanya research utajua mkuu. Kwani watanzania wanaoenda kusoma kichina wanafanya kujifurahisha???
 
Kuna mkuu nimemjibu post kwa kimombo naona kayeyuka.
 
Back
Top Bottom