Mbwana Samatta nae kumbe ana kiingereza kama cha Mrisho Ngassa

Mbwana Samatta nae kumbe ana kiingereza kama cha Mrisho Ngassa


[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] morinho, messi, cr7 wote hawajui kingereza vizur ije kuwa samata, sio lazima kujua kingereza et, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 

ungeandika kwa kingereza tuone idadi ya wachangiaji arafu na watakachochangia ukiwemo wewe....Kijana katitahidi saana anaongea kumzidi hata Messi na wachezaji wengi walokaa ulaya mda mrefu kuliko yeye...tena chukulia shule yake ilivyo ndogo mimi naona kawazidi watu wengi hata wenye Degree...Pia yoi smart kwa kuchagua nini azungumze...
 
Hapo labda amekupiga gape kimaisha lakini kijua kiingereza sio ndo ujanja na hata ujue vipi huwezi kumshinda aliyezaliwa nacho na hakiwezi kuwa kipimo cha mtu kufanya jambo kwa usahii
 
Mara nyingu humu Jf huwa sipendi kuwajibu watu wanaojifanya "wehu" kwa makusudi kabisa!
Kuna vitu tumekariri japo havifanyi kazi kama tunavyodhani katika maisha halisi ila bado imekuwa ngumu kulikubali hili.

Hapa Tz waliyosoma na wasio soma wengi hatumudu vizuri kiingereza ila bado watu wanafikiri tatizo ni elimu.

Mkumbuke kiingereza ni lugha.
 
Mm bnafsi huwa najiuliza; HV lugha ya kiingereza ina marufuku ya kutokosewa au lugha zingine nazo tunazozitumia as 2nd languages nazo huruhusiwi kukosea? Kma ni zote kile kiswahili alichokua anaongea raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta cku ya uzinduzi wa mradi wa uchimbaji wa mafuta kilikuwa sahihi? Au na yy alikosolewa hv kma tunavyomkosoa aliekosea kiingereza.
 
5e8a84027cf5b146c0cc913c3ef8cf0e.jpg
Ukiona mtu anatetea kutojua kiingereza au kukisimanga kiingereza ujue naye hakipandi. Mimi sikijui lakini natamani nikijue vizuri nikiongea/kuandika kiwe super!
 
Mm bnafsi huwa najiuliza; HV lugha ya kiingereza ina marufuku ya kutokosewa au lugha zingine nazo tunazozitumia as 2nd languages nazo huruhusiwi kukosea? Kma ni zote kile kiswahili alichokua anaongea raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta cku ya uzinduzi wa mradi wa uchimbaji wa mafuta kilikuwa sahihi? Au na yy alikosolewa hv kma tunavyomkosoa aliekosea kiingereza.
Lugha zengine huchukuliwa kama lugha tu ni kwa mawasiliano na ndiyo huwa kawaida tu hata ukikosea,ila kiingereza watu wanasahau kuwa pia ni lugha kama zilivyo zengine na kuchukulia kama elimu fulani japo wanajua kuna watu hawana elimu na kiingereza ndiyo lugha anayoizungumza.
 
Ukiona mtu anatetea kutojua kiingereza au kukisimanga kiingereza ujue naye hakipandi. Mimi sikijui lakini natamani nikijue vizuri nikiongea/kuandika kiwe super!
Hakuna anayesimanga kiingereza ila ni ujinga katika nchi ambayo wananchi wake wengi hawamudu vizuri kiingereza halafu wanachekana kwa dharau. Ukisoma comments zao humu unashangaa kwanini bado wanaendelea kucomments kwa kiswahili na si kwa kiingereza.
 
Lengo Lako Ni Nn? Unajaribu Kuwasilisha Kitu Gani Hapa??
 
Mleta Uzi unashangaa nn? Wakati kuna watu wana PHD zao hapa mbogo ila wanatembea na wakarimani wanaposisikia kuna majukumu ya kuongea lugha ya kizungu!
 
Hakuna anayesimanga kiingereza ila ni ujinga katika nchi ambayo wananchi wake wengi hawamudu vizuri kiingereza halafu wanachekana kwa dharau. Ukisoma comments zao humu unashangaa kwanini bado wanaendelea kucomments kwa kiswahili na si kwa kiingereza.

Mkuu umeongea sense sana asante.
 
The only thing I know about Samatta is : he is damn good at scoring goals, a real professional footballer, making a living of it!! Hakusajiliwa Genk kama mtaalam wa lugha.

Iwe mwanzo na mwisho kuanzisha thread za kijinga kama hii.
Aiseee we mkali umemaliza kila kitu........hata hivyo kingereza kizuri kwa level yake, wazungu wanachoangalia ueleweke tu kwenye mazungumzo ya kawaida hata kama utakosea mambo mengine wao hawayahusu (the same hata sisi kwa wanaojifunza kiswahili hata kama kwenye maneno 100 akachapia maneno 60 lakini bado unajua kabisa alitaka kusema nini na ndo maana kukawa kuna maneno yanafsiriwa kwa lugha nyingine kwenye screen hapo (inaashiria ameeleweka)
 
Watanzania wengi ni "ma-bogus". Hushindwa kutofautisha masuala(issues) na kuyajadili kwa weledi. NA HUSHINDWA PIA KUELEWA HOJA NA KUELEWA MSINGI WA HOJA HUSIKA.

Ndiyo sababu utaona mtu analeta uzi wenye hoja ya kitaifa kwa faida ya watu wote, lakini "Mapopoma" haraka sana hukimbilia kwenye u-vyama na kuanza kutaja majina ya watu!! KAMA WATU HAWAWEZI KUJUA MATATIZO/MASUALA YA KITAIFA NA KUYAJADILI KWA PAMOJA, HHAKUNA NAMNA YA KUSONGA MBELE! NI MKWAMO.

Rejea mada husika ya Kiingereza cha Mbwana Samatta:

Kiingereza ni lugha tu kama lugha nyingine, haina umaalumu wowote ingawa imetapakaa dunia nzima na ni muhimu sana kuijua.

Kama hukubahatika kusoma na kujifunza Kiingereza, hakuna shida yeyote ukikosea kukiongea au kutokukijua kwasababu si lugha yako.

Lakini kama umesoma hadi Chuo Kikuu, au hadi kidato cha sita na hujui Kiingereza wewe ni mpumbavu tu! Una low IQ, umeshindikana na ni hasara ya mama yako
Jamaa punguza ukali wa maneno, hivi kwa jinsi Watz wanavyopenda / kutamani kuongea kimombo japo wengi hawakiwezi, unadhan huyo aliefika chuo kikuu alafu akawa hajui Kiingereza amefanya makusudi mkuu?
 
bwana sammata yake mpira kiingereza achie waingereza
 
Ngasa kakaa DRC,kakaa Belgium. Zote hizo ni Francophone, kila ukizunguka ni kifaransa hivyo hapo ni amejitahidi sana.
 
Acheni hoja za kishamba wewe unae mcheka Samatta kutoonge Kiingereza fasaha unamafanikio gani na kiingereza chako? Unatafuta "KIKI" kupitia Samatta. Wabongo bwana msione mtu kasongambele lazima mtafute jinsi funi ilimradi muongee lolote

Wewe na kingereza chako hata mtaa wa pili hakuna anaye kufahamu mwenzio hajui kiingereza lakini mataifa yana mtambua.

Acheni majungu watanzania ndomana maendeleo kwetu ni shida chuki binafsi imetuzidi
 
Back
Top Bottom