Kaka naongea kwa roho ya kitanzania ya kidugu kabisa ,alichokisema dogo kisheria yupo sahihi kabisa ,lakini hali halisi ya uhuru wa kuzungumza tunaijua vizuri,wapo wangapi waliongea ukweli lio wamefariki na wamepigwa risasi? Kolomije ina uhusiano na moja ya viongozi mwenye nguvu kuliko cheo chake wala walio juu yake bwana huyo hupenda sifa na hapendi kupingwa na kwa jina kubwa la dogo hii akiichukia wanaweza tafuta kasababu kadogo waka -capitalise akapotea.Mfano dogo anavuta kaya hivi akikutwa nayo jamaa akayajenga mahakamani dogo mvua mbili tu akitoka masikini