magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Kwanini unahisi we una haki ya kutoa maoni na yeye hana?!si vyema kujiingiza huko ,walio karibu naye wamwambie acheze soka hapo atavuna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini unahisi we una haki ya kutoa maoni na yeye hana?!si vyema kujiingiza huko ,walio karibu naye wamwambie acheze soka hapo atavuna
Kaka naongea kwa roho ya kitanzania ya kidugu kabisa ,alichokisema dogo kisheria yupo sahihi kabisa ,lakini hali halisi ya uhuru wa kuzungumza tunaijua vizuri,wapo wangapi waliongea ukweli lio wamefariki na wamepigwa risasi? Kolomije ina uhusiano na moja ya viongozi mwenye nguvu kuliko cheo chake wala walio juu yake bwana huyo hupenda sifa na hapendi kupingwa na kwa jina kubwa la dogo hii akiichukia wanaweza tafuta kasababu kadogo waka -capitalise akapotea.Mfano dogo anavuta kaya hivi akikutwa nayo jamaa akayajenga mahakamani dogo mvua mbili tu akitoka masikiniKwanini unahisi we una haki ya kutoa maoni na yeye hana?!
Ukiona manyoya ujue kaliwa..mimi sijui labda kuna vyanzo......Kijana acheze soka, apotezee kabisa story za laana za bongo. Asijiingize ktk chuki na kundi lolote.