Mbwana Samatta: Nina wazo kwanini Dar isibadilishwe jina ikaitwa Kolomije

Ukifikiria kimtaani taani na ki-Yanga na simba hutaona umuhimu wa yeye kukwepa kujinasibu na upande wowote wa hili jambo. Nikipata muda nitakuja kukufafanulia kwanini afuate ushauri wangu na najua ni wa wengi tu bali mimi nimewahi kuusema hapa.
 
Mshaanza roho mbaya wabongo Kama kawaida yenu

hahahahahha...

Nina wivu na Mbwana Samatta?

Hivi yuko wapi siku hizi, bado yuko T.P. Mazembe?

Mimi nadhani hata viwango vyetu vya michezo vinaangushwa na elimu duni ya wachezaji kwa ujumla.

Utakuwaje mpaka leo hii hujui kuandika?
 
Kijana akianza kuingiza siasa atajiharibia status aliyo nayo sasa!!
Angekuwa anachezea simba au yanga sawa angejiharibia.. Huko ulaya anajiharibia kwa lipi?

Au mtaenda kumzomea huko Belgium??hahaha
 
Bora paitwe bashite,freedom of speech
 
Hahahaaa duh kazi kweli kweli jamaa atafuatwa Na bunduki uwanjan shaur yake
 
Msilete mambo yenu ya uteam nani wenu, Ana haki ya kuandika kama mtanzania yeyote yule,na pia mumpende team fulani mumchukie hamtakuwa nyie mnaotia kamba pale Genk.....acheni kuwatisha watu wasitoe mawazo yao kifua kiwe huru.
Mbwana Samatta alipofikia ni kama Entity ya kibiashara, anahitaji kila aina ya support toka kwa kila mtu na kila taasisi. Mbwana anaweza kuja kuwekeza kibiashara hapa nyumbani TZ hasa DSM, huku anahitaji ardhi,leseni za kibiashara, na kusajiri kampuni na kuhitaji endorsement ya serikali na ya taasisi binafsi kama za kanisa la Gwajima na Clouds FM. Atahitaji hizo leseni na ardhi toka serikalini na atatakiwa alipe kodi serikalini. unadhani atakuwa na mazingira rafiki ya kibiashara kama ataingia utata(kuchukiwa) na wenye dhamana huko serikalini wale ambao wako nyuma ya Makonda? Hata akifungua academy ya michezo au hospital kama wenzake akina Kanu, Adebayor, Etoo na Drogba anahitaji usajiri/vibali vya serikali. Hawezi kuingiza container la vifaa vya biashara zake au academy bila kufanya tax clearance serikalini na huko hujui nani yupo nyuma ya Bashite. Haya machache lakini yapo mengi wengine watakuja kuchangia. unafikiri kwanini IPP media hawashabikii sana hizi habari za Bashite? Unafikiri hawataki kuuza sana magazeti yao au wanampenda sana Bashite? je wewe una akili sana ya Biashara kuliko Mzee Mengi na washauri wake? Au Mzee Bhakresa? au Mo? Umemuona Manji au umemuona Mbowe na yanayowakuta unayajua? Sio lazima ukosoe kila kitu bila tafakari!! Kuna mengine yamewazidi upeo wenu wa kufikri na uelewa kuhusu biashara na kufanya vitu na Jamii au media au na Kaisari mwenye dola.
cc: magnifico
 

Niliahidi kukuletea sababu mkuu soma hapo chini:

Mbwana Samatta alipofikia ni kama Entity ya kibiashara, anahitaji kila aina ya support toka kwa kila mtu na kila taasisi. Mbwana anaweza kuja kuwekeza kibiashara hapa nyumbani TZ hasa DSM, huku anahitaji ardhi,leseni za kibiashara, na kusajiri kampuni na kuhitaji endorsement ya serikali na ya taasisi binafsi kama za kanisa la Gwajima na Clouds FM. Atahitaji hizo leseni na ardhi toka serikalini na atatakiwa alipe kodi serikalini. unadhani atakuwa na mazingira rafiki ya kibiashara kama ataingia utata(kuchukiwa) na wenye dhamana huko serikalini wale ambao wako nyuma ya Makonda? Hata akifungua academy ya michezo au hospital kama wenzake akina Kanu, Adebayor, Etoo na Drogba anahitaji usajiri/vibali vya serikali. hawezi kuingiza container la vifaa vya biashara zake au academy bila kufanya tax clearance serikalini na hukomhujui nani yupo nyuma ya Bashite. Haya machache lakini yapo mengi wengine watakuja kuchangia. unafikiri kwanini IPP media hawashabikii sana hizi habari za Bashite? Unafikiri hawataki kuuza sana magazeti yao au wanampenda sana Bashite? je wewe una akili sana ya Biashara kuliko Mzee Mengi na washauri wake? Au Mzee Bhakresa? au Mo? Umemuona Manji au umemuona Mbowe na yanayowakuta unayajua? Sio lazima ukosoe kila kitu bila tafakari!! Kuna mengine yamewazidi upeo wenu wa kufikri na uelewa kuhusu biashara na kufanya vitu na Jamii au media au na Kaisari mwenye dola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…