Mbwana Samatta: Nina wazo kwanini Dar isibadilishwe jina ikaitwa Kolomije

Mbwana Samatta: Nina wazo kwanini Dar isibadilishwe jina ikaitwa Kolomije

Yupo sahihi mkuu katimiza haki yake kikatiba
Wakati ninyi mnafurukutia huku na Majina Feki. Hebu muacheni kijana wa watu he is so humble wacha aendelee na Soka yake. I am sure ahta hiyo account si yake!
 
Lakini bahati mbaya na yeye mwenyewe kuandika hajui. Sijui anawezaje kusoma mikataba anayosainishwa.

"Isibadirishwe"!
Wewe ndo unajua kuandika?Jichunguze kama huoni basis kumbuka hata nyani haoni kundu yake!
 
mfano wa watanzania wenye roho mbaya, chuki na uzandiki, wamo katika uzi huu!
 
Bosi wangu ngoja nikueleze ukweli, kuna faida kubwa sana kiuchumi na kijamii kwa Mbwana Samatta kukwepa kujiingiza ktk mgogoro huu. Akinyamaza nahisi hatapungukiwa kitu kikubwa kama kuliko ikatokea kuchukiwa na upande wowote wa wanaopambana. Sio lazima uamini maneno yangu. Silence is wisdom kwa wakati flani.
dunia imebadilika
 
Kwani yeye sio mtanzania ipo siku atarudi kukaa huku mwacheni atoe nyongo wengi tumechefukwa[emoji36][emoji57]
 
Lakini bahati mbaya na yeye mwenyewe kuandika hajui. Sijui anawezaje kusoma mikataba anayosainishwa.

"Isibadirishwe"!
Wewe aliyesoma unajua kusoma na kuandika tuwekee mafanikio yako hayo ambayo ni zaidi ya Samatta.
 
Niliahidi kukuletea sababu mkuu soma hapo chini:

Mbwana Samatta alipofikia ni kama Entity ya kibiashara, anahitaji kila aina ya support toka kwa kila mtu na kila taasisi. Mbwana anaweza kuja kuwekeza kibiashara hapa nyumbani TZ hasa DSM, huku anahitaji ardhi,leseni za kibiashara, na kusajiri kampuni na kuhitaji endorsement ya serikali na ya taasisi binafsi kama za kanisa la Gwajima na Clouds FM. Atahitaji hizo leseni na ardhi toka serikalini na atatakiwa alipe kodi serikalini. unadhani atakuwa na mazingira rafiki ya kibiashara kama ataingia utata(kuchukiwa) na wenye dhamana huko serikalini wale ambao wako nyuma ya Makonda? Hata akifungua academy ya michezo au hospital kama wenzake akina Kanu, Adebayor, Etoo na Drogba anahitaji usajiri/vibali vya serikali. hawezi kuingiza container la vifaa vya biashara zake au academy bila kufanya tax clearance serikalini na hukomhujui nani yupo nyuma ya Bashite. Haya machache lakini yapo mengi wengine watakuja kuchangia. unafikiri kwanini IPP media hawashabikii sana hizi habari za Bashite? Unafikiri hawataki kuuza sana magazeti yao au wanampenda sana Bashite? je wewe una akili sana ya Biashara kuliko Mzee Mengi na washauri wake? Au Mzee Bhakresa? au Mo? Umemuona Manji au umemuona Mbowe na yanayowakuta unayajua? Sio lazima ukosoe kila kitu bila tafakari!! Kuna mengine yamewazidi upeo wenu wa kufikri na uelewa kuhusu biashara na kufanya vitu na Jamii au media au na Kaisari mwenye dola.
Sababu ya kipuuzi sana,kama kazamilia kuwekeza watabana lakini wataachia tu,msitake watu waishi kipuuzi tu bila kuchangia mambo yanayoendelea nchini.
 
mbwana achana na siasa mkuu.. bora uje kwenye mapenzi huku tukuchune huku ukifaidi kitumbua ... wanasiasa si watu wema kabisa
Mkuu alishasema hakuna kupangiana,,mwache na yeye afanye yake,kwanza samata ana moyo sana ,ningekuwa mm hata uraia ningeukana
 
sawa
Sababu ya kipuuzi sana,kama kazamilia kuwekeza watabana lakini wataachia tu,msitake watu waishi kipuuzi tu bila kuchangia mambo yanayoendelea nchini.
Sawa Mkuu,things aren't very simple like that.
 
Hiyo itakuwa ni kuifananisha Dar na kijiji kinachotoa vihiyo,which is unacceptable.In fact it is tantamount to cursing Dar kwamba effective now Dar iwe kiwanda cha vihiyo.Would you like that?I hope not. Halafu itakuwa sawa na kum-reward Daudi Bashite,jambo ambalo nobody in his right mind would like to do.
 
Naye ni mtanzania ana haki kikatiba kuongea na kusikilizwa
 
Back
Top Bottom