Mbwana Samatta: Nina wazo kwanini Dar isibadilishwe jina ikaitwa Kolomije

Kweli
 

Sasa hapo serikali ikimyima itakua ni akiri matope
 
Kwasauti ya nyerere: Samatta huyu, naona raha za ugiriki amechoka nazooo. Akileta mzaha atapata misukosuko huyu, mpaka asitamani kuucheza mpira. Mwambieni kijana mwenzenu, hata George Weah kule liberia, amekuwa Rais wa nchi yao baada ya kustaafu soka. Na yeye acheze mpira, akichoka atakuja kwenye siasa. Mwambieni mwenzenu. Asanteni sana.
 
Mm naona ikiitwa "Dar'shite' yaani Daresalaam+Bashite=Darshite,yaani Dar ya Zero Brain,Dar ya form four failure,alieshindwa hata kurisiti akasafisha cheti...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wewe ndio unae assume hapa
 
Stress zenu za maisha msimtulie kijana wa watu, kwanza uzi wa zamani sijui kwann umefufuliwa pia jamaa kaongea kiutani tu shida iko wapi.

Wabongo muda wote sura zao zimekunja ndita sijui kwanini.

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
 
Stress zenu za maisha msimtulie kijana wa watu, kwanza uzi wa zamani sijui kwann umefufuliwa pia jamaa kaongea kiutani tu shida iko wapi.

Wabongo muda wote sura zao zimekunja ndita sijui kwanini.

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
Wivu unawasumbua..yaani stress zao za kimaisha wanahamishia huku..
 
Bora Kolomije kuliko Dar es Salaam, neno la Kiarabu.

Mji Mkuu wa nchi kama Uingereza, Ujerumani, Marekani na nchi za watu wanaojielewa, wanaojithamini, huwezi kukuta wanatumia jina la Kichina.

Hakuna Ulaya nzima mji unaitwa Huanzou Chou Ching!

Lakini Mwafrika ndio zuzu wa dunia, bahari yake anaiita Indian Ocean, ziwa analiita Lake Victoria, mji wake Dar -es-Salaam. Huwezi kwenda Uarabuni au India ukakuta mto unaitwa River Dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…