ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,716
- 2,388
Kweli kabisa ndugu... sasa eti mtu ana anza kusema magoal sio ya ufundi... kwan lukaku ana fungaje..higuain ana fungaje... na lewando jethanos tunaorudisha nyuma soka la Tanzania ni sisi wenyewe mashabiki wa Tanzania, Samatta anakupa vitu full package
Sent using Jamii Forums mobile app
Msamehe. Hajui Mahitaji ya soka la kisasa!Samatta ni aina ya forward wanao itwa fox in the box.... yeye kazi yake ni kufungana moja kati ya sifa kubwa kwa forwad mi uwezo wa kufunga kwa kutumia kichwa vile vile na miguuu... sasa uki kuta anae piga na set pieces tayari uyo ni case maalumu.... nashangaa kuona usawa una kaba namna hii mpaka watu mna anza kumbeza samagoal
Yule fala tu,anakosa magoli meeengii afu kwenye mechi muhimu.Lukaku anafunga magoli ya ufundi?... Mwisho wa siku kinachotakiwa ni magoli...haijalishi hata kama yamefungwa kwa mkono au kiuno
Nakazia, Samatta ni habari nyingine kabisaOmbea Adui Yako Aishi Miaka Mingi Ili Unapofanikiwa Ajionee Kwa Macho.
Lakini mimi siamini katika bahati, bali katika struggle, nahisi samamagoli anastruggle kwa level zake. Unafikiri watamfikishia ujumbeNimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Mbwana Samatta Tangu alivyotua katika Club ya KRC Genk ya Belgium akitokea TP Mazembe ya DRC.Kiukweli jamaa kiwango chake ni cha kawaida sana na anabebwa sana na bahati kubwa aliyonayo kwani performance yake haitishi sana.Ukiangalia magoli anayofunga asilimia kubwa ni ya kawaida sana yasiyo na ufundi (hufunga zaidi kwa kichwa na asilimia kidogo kwa mguu na setpieces).Kwa namna soka la Ulaya lilivyokuwa na ushindani hasa kwa mabeki wakatili (kama akina Pepe) sioni Samatta akifanya lolote mbele yao, kwani mbinu zake mguuni hazitishi mabeki na ni za kawaida sana.Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.....Jamaa some how Anajitahidi na anaendelea kujitahidi kwani ameonesha ujasiri na amekuwa Idol kwa Vijana wengi wenye ndoto za mafanikio kwenye soka kama ya Samatta.Kama ataweza kuuona uzi huu au aambiwe na mtu wake wa karibu aliyeko humu basi nimwombe ndugu yangu Samatta, aongeze zaidi juhudi na ajifunze mbinu nyingi za kufunga kwani yeye kama forward kazi yake uwanjani ni magoli tu na si vinginevyo. Bila kisahau Kujisahau na Kuvimba kichwa akuepuke sana kwani magazeti ya bongo yanapamba wachezaji hadi wanakuwa under pressure na mwishowe huharibu carrier yao.
Ajadisiwa mpira wake ni avarage sana..!
Huwezi eleweka kwa mburula hawa tzTofauti ya Lukaku na Samatta ni kwamba, Lukaku anafunga magoli mazuri na ya kiufundi na pia anakosa magol magoli mepesi...Samatta yeye anafunga magoli mepesi yasiyo na ufundi
Kuna watu mnasema ukweliSamatta ana bidii sana na yupo committed ila upande wa kipaji ni wa kawaida sana, yan huwez hata kumfananisha na striker wa mtibwa Kelvin Kongwe Sabato "KIDUKU"
Sent using Jamii Forums mobile app