Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

kazi yake ni kufunga mabao na anayafunga haswaa.. Kama unaujua mpira vyema mastriker wazuri wengi hawana madoido mengi na aina ya uchezaji pia hutofautiana.. unawakumbuka akina van nisterloy.. inzaghi n.k ndo kama Samatta
 
Samatta ni aina ya forward wanao itwa fox in the box.... yeye kazi yake ni kufungana moja kati ya sifa kubwa kwa forwad mi uwezo wa kufunga kwa kutumia kichwa vile vile na miguuu... sasa uki kuta anae piga na set pieces tayari uyo ni case maalumu.... nashangaa kuona usawa una kaba namna hii mpaka watu mna anza kumbeza samagoal
 
Mkuu unataka kusema huyo BAHATI kaenda nae SAMATA HADI huko ULAYA? BAHATI nae KING'ANG'ANIZI SANA,,kumbeba SAMATA sio jambo LA kitoto..
 
Samatta ni aina ya forward wanao itwa fox in the box.... yeye kazi yake ni kufungana moja kati ya sifa kubwa kwa forwad mi uwezo wa kufunga kwa kutumia kichwa vile vile na miguuu... sasa uki kuta anae piga na set pieces tayari uyo ni case maalumu.... nashangaa kuona usawa una kaba namna hii mpaka watu mna anza kumbeza samagoal
Msamehe. Hajui Mahitaji ya soka la kisasa!
 
Lukaku anafunga magoli ya ufundi?... Mwisho wa siku kinachotakiwa ni magoli...haijalishi hata kama yamefungwa kwa mkono au kiuno
Yule fala tu,anakosa magoli meeengii afu kwenye mechi muhimu.
Hawezi ata kupunguza mabeki.Jana kaniboa kichizi anasubiri mpaka mpira udunde[emoji37][emoji37]
 
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Mbwana Samatta Tangu alivyotua katika Club ya KRC Genk ya Belgium akitokea TP Mazembe ya DRC.​
Kiukweli jamaa kiwango chake ni cha kawaida sana na anabebwa sana na bahati kubwa aliyonayo kwani performance yake haitishi sana.​
Ukiangalia magoli anayofunga asilimia kubwa ni ya kawaida sana yasiyo na ufundi (hufunga zaidi kwa kichwa na asilimia kidogo kwa mguu na setpieces).​
Kwa namna soka la Ulaya lilivyokuwa na ushindani hasa kwa mabeki wakatili (kama akina Pepe) sioni Samatta akifanya lolote mbele yao, kwani mbinu zake mguuni hazitishi mabeki na ni za kawaida sana.​
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.....Jamaa some how Anajitahidi na anaendelea kujitahidi kwani ameonesha ujasiri na amekuwa Idol kwa Vijana wengi wenye ndoto za mafanikio kwenye soka kama ya Samatta.​
Kama ataweza kuuona uzi huu au aambiwe na mtu wake wa karibu aliyeko humu basi nimwombe ndugu yangu Samatta, aongeze zaidi juhudi na ajifunze mbinu nyingi za kufunga kwani yeye kama forward kazi yake uwanjani ni magoli tu na si vinginevyo. Bila kisahau Kujisahau na Kuvimba kichwa akuepuke sana kwani magazeti ya bongo yanapamba wachezaji hadi wanakuwa under pressure na mwishowe huharibu carrier yao.​
Lakini mimi siamini katika bahati, bali katika struggle, nahisi samamagoli anastruggle kwa level zake. Unafikiri watamfikishia ujumbe
 
Tofauti ya Lukaku na Samatta ni kwamba, Lukaku anafunga magoli mazuri na ya kiufundi na pia anakosa magol magoli mepesi...Samatta yeye anafunga magoli mepesi yasiyo na ufundi
Huwezi eleweka kwa mburula hawa tz
 
Hicho unachokitaka wewe aifanye ili umuone anajua hakiwezi, anachokifanya ndicho anachokiweza.
Hatuwezi kuwa sawa. Hata kama hupendi mpira wake haisaidii kitu chochote.
Go goooooooooo goooooooooo Samatta, umeendelea kutuwakilisha vyema.
 
Nakumbushia
Screenshot_20180930-071724.png

Jana hiyo 29/9/2018
 

Attachments

  • Screenshot_20180930-071724.png
    Screenshot_20180930-071724.png
    16.8 KB · Views: 39
Back
Top Bottom