Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

Wewe mwenye uwezo kuliko yeye uko wapi?? Jf unaandika nyuzi.. Mwezio yuko Genk anafunga magoli na mshahara wa zaidi ya Euro 50,000.. Hakuna bahati kwenye soka he is that good ndio maana anachez soka ulaya....
 
Mnaojidai wakosoaji wake wakubwa tunaimani bado mnahesabu magoli yake ya kawaida. Hao wa kwenu mafundi wa Mpira mmekaa nao kwenye vijiwe vya kahawa na na vya madawa ya kulevya huku mnayemchukia kwa kutokujua mpira yuko Europa league.
 
Mungu Fundi wenye wivu wameze supu ya viwembe
 
Wewe mbona una hiyo bahati , acheni chuki za kijinga izo kina roho morata wanakosa magoli na Yuko na kipa na bado anaonekana mchezaji Bora kwa nn msimuheshimi samata
 
Mleta mada na yule jamaa mbishi ni wachawi wakubwa kuliko wanaopaa na ungo.
Pumba.vu!!!
 
TOKA NIZALIWE SIJAWAHI KUONA KENGE KAMA WEWE. MTU ANAPIGA GOLI MBILI UGENINI DHIDI YA BESKITAS BADO HUONI KUWA NI SUPER? HIVI ROHO YA WIVU KAMA ULIYONAYO WEWE IPO MAHALA PENGINE DUNIANI? UNAKERA SANA. WEWE NI MCHAWI
 
ROHO YA WEWE JAMAA NI YA KICHAWI. NA SIDHANI KAMA KUNA MCHAWI ANAYEKUZIDI WEWE. MTU ANAWAFUNGA WAZUNGU KIASI HIKI WEWE BADO HUONI? WIVU KAMA HUO UTAKUFANYA UFE MAPEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…