Duuuuh[emoji23] [emoji23] [emoji23]Baraka da prince amebadili dini na amesilimu kawa muislam
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkubwa edit Uzi wako badala ya Samataa weka lukaku
Naunga mkono hojaModerator tafadhali futa hii thread kwa heshima ya samatta na Taifa kwa ujumla
Acha wehuuu wew, bangi za mchanaNimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Mbwana Samatta Tangu alivyotua katika Club ya KRC Genk ya Belgium akitokea TP Mazembe ya DRC.
Kiukweli jamaa kiwango chake ni cha kawaida sana na anabebwa sana na bahati kubwa aliyonayo kwani performance yake haitishi sana.
Ukiangalia magoli anayofunga asilimia kubwa ni ya kawaida sana yasiyo na ufundi (hufunga zaidi kwa kichwa na asilimia kidogo kwa mguu na setpieces).
Kwa namna soka la Ulaya lilivyokuwa na ushindani hasa kwa mabeki wakatili (kama akina Pepe) sioni Samatta akifanya lolote mbele yao, kwani mbinu zake mguuni hazitishi mabeki na ni za kawaida sana.
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.....Jamaa some how Anajitahidi na anaendelea kujitahidi kwani ameonesha ujasiri na amekuwa Idol kwa Vijana wengi wenye ndoto za mafanikio kwenye soka kama ya Samatta.
Kama ataweza kuuona uzi huu au aambiwe na mtu wake wa karibu aliyeko humu basi nimwombe ndugu yangu Samatta, aongeze zaidi juhudi na ajifunze mbinu nyingi za kufunga kwani yeye kama forward kazi yake uwanjani ni magoli tu na si vinginevyo. Bila kisahau Kujisahau na Kuvimba kichwa akuepuke sana kwani magazeti ya bongo yanapamba wachezaji hadi wanakuwa under pressure na mwishowe huharibu carrier yao.
Jamaa aumbuka sana. Samatta anamthibitishia jamaa kuwa yuko wrongAcha wehuuu wew, bangi za mchana
Wewe Sijui upo kundi gani... Lakini hao watu waliokupa "like" kwa huu upuuzi ulioandika hapa wapo kwenye kundi la watu wajinga.Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Mbwana Samatta Tangu alivyotua katika Club ya KRC Genk ya Belgium akitokea TP Mazembe ya DRC.
Kiukweli jamaa kiwango chake ni cha kawaida sana na anabebwa sana na bahati kubwa aliyonayo kwani performance yake haitishi sana.
Ukiangalia magoli anayofunga asilimia kubwa ni ya kawaida sana yasiyo na ufundi (hufunga zaidi kwa kichwa na asilimia kidogo kwa mguu na setpieces).
Kwa namna soka la Ulaya lilivyokuwa na ushindani hasa kwa mabeki wakatili (kama akina Pepe) sioni Samatta akifanya lolote mbele yao, kwani mbinu zake mguuni hazitishi mabeki na ni za kawaida sana.
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.....Jamaa some how Anajitahidi na anaendelea kujitahidi kwani ameonesha ujasiri na amekuwa Idol kwa Vijana wengi wenye ndoto za mafanikio kwenye soka kama ya Samatta.
Kama ataweza kuuona uzi huu au aambiwe na mtu wake wa karibu aliyeko humu basi nimwombe ndugu yangu Samatta, aongeze zaidi juhudi na ajifunze mbinu nyingi za kufunga kwani yeye kama forward kazi yake uwanjani ni magoli tu na si vinginevyo. Bila kisahau Kujisahau na Kuvimba kichwa akuepuke sana kwani magazeti ya bongo yanapamba wachezaji hadi wanakuwa under pressure na mwishowe huharibu carrier yao.
Kumbe kuna watu mna akili kama Mimi. Mtu akitoa hoja ya ovyo huwa siangalii mtoaji, naangalia wanaompa like kwa sababu kuunga mkono ujinga ni ujinga zaidi kuliko kuwa mjinga.Wewe Sijui upo kundi gani... Lakini hao watu waliokupa "like" kwa huu upuuzi ulioandika hapa wapo kwenye kundi la watu wajinga.
Achana nae huyo!RKC Gent sijawah isikia hii tim. Kama hujui hata tim gani anachezea Samatta bas achana naye wewe si shabik wake
Alishakimbia Uzi wake kitamboooJuzi vs Cape Verde ulimuonaje?cc Mleta uzi??Nijibu nkkueleze kitu
Umesema kweli. Tatizo la kuangalia mpira ukubwani!Hili ni tatizo la kuanza kuangalia mpira ukubwani, kiwango cha samatta kinatisha kaka na ninakuhakikishia muda si mrefu utasikia ameenda premier league
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Huyo achana naeHakika hapa nimeamini kuna watu hawajui soka. Sasa anza kufuatilia jezi namba 10 huvaliwa na watu gani kwenye timu
Mbona wewe huna? Ama wewe ndio Lionel Messi?Bahati ipo kila sehemu mkuu usipinge hilo.
I see!!!!Samatta vs besiktas, 4 - 2.
2 goals for samatta and 1 assist for samatta. Man of the match..
Wewe ndo unapaswa uwe na hoja za msingi. By the way Samatta alistruggle mwenyewe mpaka hapo alipofikia,wewe ulimsaidia nini? Au ndo ule umbea na kutafuta kiki za kipuuzi ili uonekane unajua kuchambua soka? Kama wewe unajua mpira kuzidi Samatta kaombe namba kikosin tukuone uwezo wako. Sio unatuletea unafiki wako hapa.