Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

Haya mtoa Mada inavyoonyesha Samatta ameusoma uzi wako basi anazidi kukuumbua anakiwasha daily jana kapiga kipa ambae alidaka fainal ya eufa match ya Madrid vs Liverpool (Karius) kamdungua kama walivyofanya kina Bale tena migoli ya uhakika miwili na assist katoa ya goal moja so katika magoli manne ya jana Europa kahusika matatu halafu huku kwetu kuna mtu anahoji uwezo wake sababu ya chuki zake.
 
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Mbwana Samatta Tangu alivyotua katika Club ya KRC Genk ya Belgium akitokea TP Mazembe ya DRC.

Kiukweli jamaa kiwango chake ni cha kawaida sana na anabebwa sana na bahati kubwa aliyonayo kwani performance yake haitishi sana.

Ukiangalia magoli anayofunga asilimia kubwa ni ya kawaida sana yasiyo na ufundi (hufunga zaidi kwa kichwa na asilimia kidogo kwa mguu na setpieces).

Kwa namna soka la Ulaya lilivyokuwa na ushindani hasa kwa mabeki wakatili (kama akina Pepe) sioni Samatta akifanya lolote mbele yao, kwani mbinu zake mguuni hazitishi mabeki na ni za kawaida sana.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.....Jamaa some how Anajitahidi na anaendelea kujitahidi kwani ameonesha ujasiri na amekuwa Idol kwa Vijana wengi wenye ndoto za mafanikio kwenye soka kama ya Samatta.

Kama ataweza kuuona uzi huu au aambiwe na mtu wake wa karibu aliyeko humu basi nimwombe ndugu yangu Samatta, aongeze zaidi juhudi na ajifunze mbinu nyingi za kufunga kwani yeye kama forward kazi yake uwanjani ni magoli tu na si vinginevyo. Bila kisahau Kujisahau na Kuvimba kichwa akuepuke sana kwani magazeti ya bongo yanapamba wachezaji hadi wanakuwa under pressure na mwishowe huharibu carrier yao.
Acha wehuuu wew, bangi za mchana
 
Wewe Sijui upo kundi gani... Lakini hao watu waliokupa "like" kwa huu upuuzi ulioandika hapa wapo kwenye kundi la watu wajinga.
 
Kwani team ikicheza inataka chenga, tobo, kanzu au magoli? tuanzie hapa kwanza
 
Hili ni tatizo la kuanza kuangalia mpira ukubwani, kiwango cha samatta kinatisha kaka na ninakuhakikishia muda si mrefu utasikia ameenda premier league

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Umesema kweli. Tatizo la kuangalia mpira ukubwani!

Mbili: Tatizo la kutokuwa na uwezo wa kung'amua mwanasoka na hasa forward, ana sifa gani!

Tatu! Ule ugonjwa wetu wa Taifa! Kutojikubali. Kutowakubali wanaofanikiwa!

Samatta ni level zingine. Basi tu watanzania ni mashabiki wa vitu vya kijinga Kinga lkn Samatta alipaswa kuwa ndio Habari ya Nchi!

Kwa kupenda kwetu ujinga ujinga! Hii wiki yote anavuma punguani aliekula denda mtandaoni!
 
Wewe ndo unapaswa uwe na hoja za msingi. By the way Samatta alistruggle mwenyewe mpaka hapo alipofikia,wewe ulimsaidia nini? Au ndo ule umbea na kutafuta kiki za kipuuzi ili uonekane unajua kuchambua soka? Kama wewe unajua mpira kuzidi Samatta kaombe namba kikosin tukuone uwezo wako. Sio unatuletea unafiki wako hapa.

Kuufahamu mpira na kucheza nivitu viwili tafauti, Gardiola ni kocha bora lakini hakuwahi kuwa mchezaji bora na hao walikua wachezaji bora ukocha na hata uchambuzi umewashinda. Mimi simchezaji mpira, Lakini kwenye wachezaji mpira huwezi twambia ati Samatta hodari. Kwani Uhodari masihara kwamba mtu yoyote anaweza akawa tu.
Wabongo tuna mapenzi makali sana mpaka tunakua hatuoni.
 
Back
Top Bottom