Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

Hater!
 
Hahahaaa tumpe muda
 
Siku hizi hafungi kaka yetu
 
Kwa hiyo akishinda mfululizo unapotea asiposhinda unarudi kutamba na utabiri wako wa TambiTambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…