baro
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,129
- 4,028
Mkuu jifunze kupunguza roho ya chukiDuh kwa hiyo akifunga na wewe unarudi hapa...mbona hata makambo anafungaga [emoji23][emoji23]
Leo kafunga tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu jifunze kupunguza roho ya chukiDuh kwa hiyo akifunga na wewe unarudi hapa...mbona hata makambo anafungaga [emoji23][emoji23]
Goooool 12goal top scorerLabda kama kafunga mlango.
Ha ha ha ha ha haInasemekana kwamba kabla Samatta hajaingia uwanjani huwa anapitia kwanza hii thread ili apate mzuka wa kufunga.
Kiatu cha dhahabu kinanukiaGoooool 12goal top scorer
Yupo vizuri lazima abebe ndoo na kiatu piaKiatu cha dhahabu kinanukia
Haaaaa na Samatta anazidi kumpa pressureMtoa mada anasubiri jamaa asishinde ndio aje kutapika
Gooooooool 2gols in 20minNimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Mbwana Samatta Tangu alivyotua katika Club ya KRC Genk ya Belgium akitokea TP Mazembe ya DRC.
Kiukweli jamaa kiwango chake ni cha kawaida sana na anabebwa sana na bahati kubwa aliyonayo kwani performance yake haitishi sana.
Ukiangalia magoli anayofunga asilimia kubwa ni ya kawaida sana yasiyo na ufundi (hufunga zaidi kwa kichwa na asilimia kidogo kwa mguu na setpieces).
Kwa namna soka la Ulaya lilivyokuwa na ushindani hasa kwa mabeki wakatili (kama akina Pepe) sioni Samatta akifanya lolote mbele yao, kwani mbinu zake mguuni hazitishi mabeki na ni za kawaida sana.
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.....Jamaa some how Anajitahidi na anaendelea kujitahidi kwani ameonesha ujasiri na amekuwa Idol kwa Vijana wengi wenye ndoto za mafanikio kwenye soka kama ya Samatta.
Kama ataweza kuuona uzi huu au aambiwe na mtu wake wa karibu aliyeko humu basi nimwombe ndugu yangu Samatta, aongeze zaidi juhudi na ajifunze mbinu nyingi za kufunga kwani yeye kama forward kazi yake uwanjani ni magoli tu na si vinginevyo. Bila kisahau Kujisahau na Kuvimba kichwa akuepuke sana kwani magazeti ya bongo yanapamba wachezaji hadi wanakuwa under pressure na mwishowe huharibu carrier yao.
NB: Kama itaonekana sina haki ya kumkosoa Huyu dogo Basi no one has the right to critisize my opinions too.
hiyo ndiyo inatakiwa....aongeze juhudi zaidi cos bado safari ni ndefu japo atokako ni mbali zaidi, na aendako ni karibu.....i think umenielewa.Tumpe jamaa sifa zake.Tusiwe na wivu. Jana yenyewe katupia magoli mawili.
View attachment 975794