Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

aliyefanikiwa kuwaona akina ole gunna,van nisterlooy au pipo inzagh hatokuwa na muda wa kutaka entertainments toka kwa striker
 
Gooooooool 2gols in 20min
 
Samagooooal...... katupia 2 huko nadhani anataka mpira leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…