Kwann sasa dogo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa njoo ufutee uzi wakoo hukuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann sasa dogo.
Ndugu mleta mada, Juzi nilijaribu kucomment kitu kama hiki ulichokisema kwenye instagram page ya shaffii dauda kuhusu uwezo wa ndugu yetu Samatta lakin niliishia kutukanwa
Pole sana mkuu...mfumo wetu wa Kitanzania kutaka kusifia kila jambo ndio unawaathiri Wabongo...Sometimes people should accept contructive critiques.Ndugu mleta mada, Juzi nilijaribu kucomment kitu kama hiki ulichokisema kwenye instagram page ya shaffii dauda kuhusu uwezo wa ndugu yetu Samatta lakin niliishia kutukanwa
ulicomment upumbavuuuuuuh shubamittNdugu mleta mada, Juzi nilijaribu kucomment kitu kama hiki ulichokisema kwenye instagram page ya shaffii dauda kuhusu uwezo wa ndugu yetu Samatta lakin niliishia kutukanwa
Kwa top striker the only thing you need is to at least kutumia 0.6 ya chances created. The rest like creativity an alike waachie viungo.....Tatizo wengi mmeishia kusoma tittle ya Uzi tu ila content hamjaielewa.....hapa lengo si kubishana nani anajua uchambuzi au nani hajui...tunaangalia reality coz mchezaji bora ni yule mwenye individual creativity uwanjani sio top finisher peke yake lazma mchezaji uwe na mbinu mbadala badala ya kuwa static.
huyo mwanzisha mada hajielewi utatumia nguvu nyingi sana mkuuKwa top striker the only thing you need is to at least kutumia 0.6 ya chances created. The rest like creativity an alike waachie viungo.....
Sent using Jamii Forums mobile app
seems like you know less about football....
Unajuwa sababu? LABDA KUWA NA BAHATI NAKO NI JITIHADA... mbona wewe hufiki aliko huyo kisoka?Ndugu mleta mada, Juzi nilijaribu kucomment kitu kama hiki ulichokisema kwenye instagram page ya shaffii dauda kuhusu uwezo wa ndugu yetu Samatta lakin niliishia kutukanwa
Nakubaliana na wewe kuwa striker kazi yake kubwa anatakiwa kujua kushoot golini hata kwenye bad position ila pia ubunifu uko wa aina nyingi na kila mchezaji anatakiwa kuwa mbunifu kwa nafasi yake. Mfano striker mzuri anatakiwa kujua namna bora ya kujiposition ili viungo na wingers waweze kumpa mipira mizuri na afunge. kujiposition inahitaji ubunifu kwa sababu kumbuka defenders wazuri wanaku manmark na usipoangalia hutaweza kufunga hata goli mojaKwa top striker the only thing you need is to at least kutumia 0.6 ya chances created. The rest like creativity an alike waachie viungo.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Well saidNakubaliana na wewe kuwa striker kazi yake kubwa anatakiwa kujua kushoot golini hata kwenye bad position ila pia ubunifu uko wa aina nyingi na kila mchezaji anatakiwa kuwa mbunifu kwa nafasi yake. Mfano striker mzuri anatakiwa kujua namna bora ya kujiposition ili viungo na wingers waweze kumpa mipira mizuri na afunge. kujiposition inahitaji ubunifu kwa sababu kumbuka defenders wazuri wanaku manmark na usipoangalia hutaweza kufunga hata goli moja
Hapa hatuzungumzii historia bali tunaangalia ufanisi. Note that!!!Yaani mtu aliyechukua trophy ya mchezaji bora wa ndani(Africa) akiwa TP mazembe,bado unasema Samatta ana bebwa na media?
Utakuwa mchawi wa mafanikio ya wenzako.
Sent using Jamii Forums mobile app