Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

Katika mojawapo ya profile stats za Mbwana Samata nadhani pale goal.com maeneo mengi alipewa wastan mlakini kwenye eneo la creativity alipewa ranking ya chini. Ilikuwa kati ya 2014/15
 
Licha ya magoli ila mpira ni burudani....nadhani Bado hujajua kwanini Soka la Mourinho Halipendwi japokuwa anapata matokeo mara kwa mara!!
Soka la Mourinho halipendwi lakin Mourinho mwenyewe anapendwa na anapewa tim kubwa. Mtu anafunga magoli mnasemaje uwezo wake ni wa kawaida sana na anabebwa na bahati?.. Mungu hakupi wala hakunyimi vyote . Sammata ni straika hatar..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unajua soka au unaandika tu..
Unamjua thomas Muller?Chicharito? Giroud ? Lukaku? Gabriel Jesus ? Hawa jamaa wana skills gani mbele ya goli hadi wachezee vilabu vikubwa wanavyochezea..

Kwenye soka ukiwa stricker na ukaweza kufunga magoli haijalishi yawe ya mkono ,tumbo ,kichwa au kiuno wewe unajua tu na utapewa nafasi..

Ustricker ni kujua kujiposition tu hayo ma skills wanayo wachache sana wakina messi lakini wengine cha muhimu mpira uingie wavuni..

Ndio kitu SAMAGOAL anachofanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unajua kwanini Lukaku analaumiwa sana,? Ndicho kitamkuta Samatta Mbeleni
 
unajua kwanini Lukaku analaumiwa sana,? Ndicho kitamkuta Samatta Mbeleni
Stricker gani hajawahi kulaumiwa mkuu..??
Giroud amelaumiwa arsenal lakini ameishia kusajiliwa chelsea moja ya club kubwa duniani.

Suarez mwenyewe akiwa na ukame wa mabao wanaanza kumlaumu..

Mkuu kubali ukatae mastricker siku hizi duniani ni aina ya Samatta kazi yao ni kujiposition na kufunga skills wanazo mawinger na viungo...
Angalia top 10 ya mastricker wakali duniani halafu useme ni nani anaskills za kutisha kiwango cha kuchezea team kubwa..

Kikubwa kwa mastricker hawa ni consistency tu ambayo Samatta anajitahidi sana maana hajawahi kuwa na ukame wa muda mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi Chalsea ni kubwa kuliko Arsenal?????ukubwa wa klabu unapimwa na mataji ya ligi...timu kubwa England ni Man U,Liverpool na Arsenal tu...nyingine za mpito
 
Uwezo wa yeye kuweza kuzitumia hizo nafasi za bahati ndio ufundi wenyewe.
Wewe ulitaka ufundi gani mwingine!!! Ilitaka ufunge magoli ya mkono ndio umuelewe!!! au ulitaka afanye mbwembwe za kina Cr7 au Neymar ndio umuelewe!!!
Yeye na aina yake ya mchezo, hana mbwembwe maana haziwezi, so anafanya anachokiweza
 
wabongo kwa unafki hatujambo
mtu kaangalia highscores youtube anasema kafatilia GENK

trust me guys kiwango cha samata ni kizur tena sana si cha kutilia shaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Drogba alikuwa hana footwork nzuri ila alikuwa ni mfungaji mzuri....hatuhitaji mbwembwe bali Magoli.
Hongera sana SAMAGOAL kwa kuwakilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…