Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wenzio wamebadilika ila we bado una roho ya kwanini!Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Mbwana Samatta Tangu alivyotua katika Club ya KRC Genk ya Belgium akitokea TP Mazembe ya DRC.Kiukweli jamaa kiwango chake ni cha kawaida sana na anabebwa sana na bahati kubwa aliyonayo kwani performance yake haitishi sana.Ukiangalia magoli anayofunga asilimia kubwa ni ya kawaida sana yasiyo na ufundi (hufunga zaidi kwa kichwa na asilimia kidogo kwa mguu na setpieces).Kwa namna soka la Ulaya lilivyokuwa na ushindani hasa kwa mabeki wakatili (kama akina Pepe) sioni Samatta akifanya lolote mbele yao, kwani mbinu zake mguuni hazitishi mabeki na ni za kawaida sana.Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.....Jamaa some how Anajitahidi na anaendelea kujitahidi kwani ameonesha ujasiri na amekuwa Idol kwa Vijana wengi wenye ndoto za mafanikio kwenye soka kama ya Samatta.Kama ataweza kuuona uzi huu au aambiwe na mtu wake wa karibu aliyeko humu basi nimwombe ndugu yangu Samatta, aongeze zaidi juhudi na ajifunze mbinu nyingi za kufunga kwani yeye kama forward kazi yake uwanjani ni magoli tu na si vinginevyo. Bila kisahau Kujisahau na Kuvimba kichwa akuepuke sana kwani magazeti ya bongo yanapamba wachezaji hadi wanakuwa under pressure na mwishowe huharibu carrier yao.
Umesema vizuri sana,90 minutes haiangalii ulifunga kwa mkono au kwa mguu,kinachotakiwa ni magoli,tena mfungaji anaefunga goli nyingi zaidi ndio mchezaji bora zaidi,that is football.Genk ni timu kubwa Belgium, yenye mameneja tena waliosomea na kubobea hawatakuwa wajinga watupe pesa kumlipa mchezaji wakati wanajua kuwa ni mtu wa kubahatisha,the guy is talented tuache wivu wa kizamani bana...Lukaku anafunga magoli ya ufundi?... Mwisho wa siku kinachotakiwa ni magoli...haijalishi hata kama yamefungwa kwa mkono au kiuno
Messi mwenyewe alikosa goal kombe la dunia, wabongo jamani sikuhizi me kwa majungu duu wanaongozaMkuu wenzio wamebadilika ila we bado una roho ya kwanini!
Mtapata tabu sana
Kwa hiyo Mumpeleke AJIBU basi[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
GENK sio Mwadui kaka.. kama unaleta UYANGA kwenye TIGO PESA sema uchangiwe fastaUtakimbia wewe na huyo mshamba mwenzio
Aina ya magoli unayosema.. sio rangi zao.Acha uboya wewe kumfananisha chicharito na Samatta....
Critical views...Kwasababu wewe sio kocha wa Genk au timu yoyote ya soka ndio maana umemuona wa kawaida na utaendelea kumuona wa kawaida.
Halafu unaomuona wa kawaida sana na hatishi ukimlinganisha labda na nani anayetisha au ulitaka atishe kwenye nini zaid ili ufikie uamuzi wa kumuona anatisha?
Aliyemsajili anaijua kazi yake na ndiye ayemtuma afanye hayo unayoyaona miguuni mwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii "point" yako inatatizo 1, ina "less" mbele Mkuu !!!Tofauti ya Lukaku na Samatta ni kwamba, Lukaku anafunga magoli mazuri na ya kiufundi na pia anakosa magol magoli mepesi...Samatta yeye anafunga magoli mepesi yasiyo na ufundi
Kwa hiyo Lukaku wako kila game anafunga siyo???.akikutana na mabeki werevu hafurukuti
huwa anafunga ila kwa kubahatisha yaani timu kama Anderlecht, Na Clube Brugge huwa zinawapa shida sana. yeye anazionea timu kama vile Eupen, Oostende, kortrijk, na Waasland Beveren....ila hapo kwa Anderlecht, Clube Brugge, Standard Liege na Gent huwa wanapata matokeo kwa tabu saanaNAOMBA KUJUA IVI BIG MATCH ZA LIGI YAO HUWA ANAFUNGA?????????
Safi sana, tunataka evidence kama hivyo. Siyo mtu anaeleza hisia tupu bila kuweka facts mezani.Mleta Uzi ambae unajipambanua kama mfuatiliaji wa match za Samatta me nakuja kukujibu na vitu live maana hiyo Genk wote tunaiangalia na kama kweli unaifuatilia Genk utakuwa ulikuwa unamfahamu Niko Kalleris ambae yeye ndio alikuwa anagombea namba na Samatta amehama msimu huu kaenda PAOK anako kaa benchi,mchezaji mwingine alikuwa akicheza cheza kipindi Samatta yuko bench ni Puzuelo mspain huyu na hao wote nawengine wengi Samatta kawakalisha katika list ya wachezaji waliowahi kucheza Genk na kufunga magoli mengi.Samatta anamagoli mengi kuliko Kevin De Bruyne na Benteke kwa kipindi walichocheza Genk ifuatayo ni jedwali la vielelezo ili ujue why wazungu wanaimba Samagoal.
View attachment 855948View attachment 855951View attachment 855949View attachment 855950
Mkuu wabongo hatupendagi critiques....yaani tunapenda kupaka mafuta na kusifia mwanzo mwisho.Hapa ndipo utapima akili za wabongo, MTU yuko straight kuhusu samata ila subiri povu la wadanganyika wasio na akili
Sent using Jamii Forums mobile app