Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

unataka kuleta manenomaneno kama kwenye ligi zetu hapa bongo? kule hawaangalii umechekecha mpira kiasi gani ila je goli lako linawarudisha nyumbani na point 3? kawaulize spain waliokuwa wakichekecha mpira kombe la dunia walirudi na nini.
Mzee umenifuraisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa magoli yote hayo ni bahat...basi samata atakua ni mwenye bahat sana yani kila mechi ni mbahatishaji nimeshanga sana jinsi ulivyo kua na roho mbaya kumpa credits kijana wa kitanzania inakukondesha nini

Sent using Jamii Forums mobile app
wala sijataka mipasho....usibishane wakati mechi za Genk huziangalii...sanasana unawategemea akina Shafii Dauda waweke viclip Insta.....anza kuangalia then uje na huo ubishi wako wa kipuuzi
 
Kuna yule jamaa wa RB LIEPZIG ya Ujerumani mwenye asili ya Tanzania YUSUPH POULSEN.
Ukimtazama hata mchana kweupe utagundua hata AJIBU anamtoa namba lkn yuko BUNDESLIGA anakula noti.
Kwa ufupi SAMATTA anauwezo wa kucheza Ligi kubwa mbali na BELGIUM.. kuna players ukiwaona viwango vyao na klabu anayocheza ..unaweza kusema kwao ni WACHAWI ..
kwa jinsi Genk wanamtumia Samatta wao wanaona anafaa..
 
Wazungu hawamini kitu kinaitwa bahati,haya mambo ya bahati yako Afrika na sehemu nyengine za dunia lakini sio wazungu,...Kama wazungu wamemuona na kumchukua katika zao basi wameona uwezo wake...
Tatizo una inferior complex ndio maana unaleta upuuzi wa kuwataja wazungu...Idiot!!!
 
Samatta ana bidii sana na yupo committed ila upande wa kipaji ni wa kawaida sana, yan huwez hata kumfananisha na striker wa mtibwa Kelvin Kongwe Sabato "KIDUKU"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwasababu wewe sio kocha wa Genk au timu yoyote ya soka ndio maana umemuona wa kawaida na utaendelea kumuona wa kawaida.
Halafu unaomuona wa kawaida sana na hatishi ukimlinganisha labda na nani anayetisha au ulitaka atishe kwenye nini zaid ili ufikie uamuzi wa kumuona anatisha?
Aliyemsajili anaijua kazi yake na ndiye ayemtuma afanye hayo unayoyaona miguuni mwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli unabaki palepale....jamaa anabebwa na bahati ila mguuni wa kawaida sana!
 
Wabongo tunajuana right roho zetu

Huwa nawaza Ingekuwa Huku kwetu ndio Ulaya kuna Mzungu tungemruhusu kutia pua Kama wenyewe Kwa wenyewe tuko hivi?
Soma mada vizuri....bila shaka umesoma tittle tu na ukaanza kuflow comment
 
Tatizo una inferior complex ndio maana unaleta upuuzi wa kuwataja wazungu...Idiot!!!
Kaka huo ndio ukweli,hakuna "bahati" kuna kujituma,wazungu wametuzidi kwa kila kitu,sina "inferior complex",isipokuwa nawaheshimu,sijui kama unajua nini maana ya hili neno "inferior complex",kwasababu halileti maana katika haya tunayoyaongelea katika hii mada
 

Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Mbwana Samatta Tangu alivyotua katika Club ya KRC Genk ya Belgium akitokea TP Mazembe ya DRC.
Kiukweli jamaa kiwango chake ni cha kawaida sana na anabebwa sana na bahati kubwa aliyonayo kwani performance yake haitishi sana.
Ukiangalia magoli anayofunga asilimia kubwa ni ya kawaida sana yasiyo na ufundi (hufunga zaidi kwa kichwa na asilimia kidogo kwa mguu na setpieces).
Kwa namna soka la Ulaya lilivyokuwa na ushindani hasa kwa mabeki wakatili (kama akina Pepe) sioni Samatta akifanya lolote mbele yao, kwani mbinu zake mguuni hazitishi mabeki na ni za kawaida sana.
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.....Jamaa some how Anajitahidi na anaendelea kujitahidi kwani ameonesha ujasiri na amekuwa Idol kwa Vijana wengi wenye ndoto za mafanikio kwenye soka kama ya Samatta.
Kama ataweza kuuona uzi huu au aambiwe na mtu wake wa karibu aliyeko humu basi nimwombe ndugu yangu Samatta, aongeze zaidi juhudi na ajifunze mbinu nyingi za kufunga kwani yeye kama forward kazi yake uwanjani ni magoli tu na si vinginevyo. Bila kisahau Kujisahau na Kuvimba kichwa akuepuke sana kwani magazeti ya bongo yanapamba wachezaji hadi wanakuwa under pressure na mwishowe huharibu carrier yao.
Nayaheshimu mawazo yako.

sipo hapa kumfurahisha mtu. Over.
 
Wewe bahati huna?

Unayo?

Upo timu gani?
wee nawe sio mzima...so kila anayetoa analysis ya mpira ajibiwe hivyo? Kwamba positive views ni sawa ila negative ni kosa?...acha ushamba mdau!
 
Back
Top Bottom